Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

WATUHUMIWA KESI YA UGAIDI WAFIKISHWA MAHAKAMANI

$
0
0
Watuhumiwa wa kesi ya ugaidi wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana baada ya kusomewa mashtaka yanayowakabili. (Picha zote na Francis Dande)
Kiongozi wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto), akiwa na watuhumiwa wenzake wa kesi ya ugaidi wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.


ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Kiongozi wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto), akiwa na watuhumiwa wenzake wa kesi ya ugaidi wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
 Kiongozi wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto), akiwa na watuhumiwa wenzake wa kesi ya ugaidi wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kusomewa mashtaka yao.
Kiongozi wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto), akiwa na watuhumiwa wenzake wa kesi ya ugaidi wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kusomewa mashtaka yanayowakabili. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>