PICHA :MLIPUKO WA BOMU WATOKEAKWENY MGAHAWA MKOANI ARUSHA
Pichani ni Askari wa Jeshi la Wananchi JWTZ kitengo cha Mabomu wakiwa katika eneo la tukio ambapo bomu lilirushwa ndani ya Mgahawa ujulikanao kwa jina la Traditional Indian Cusine uliopo pembeni ya...
View ArticleMAKOSA 5 YA KAZI UTAKAYOYAJUTIA MIAKA 10 BAADAYE
Mchangiaji wa mtandao wa Forbes, Rick Smith ameandika makala isemayo 5 Career Mistakes You Will Regret In 10 Years ambayo kutokana na kuwa na maneno muhimu tumeamua kuitafsiri kama ilivyo ili iweze...
View ArticleBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELIGIJI, MH. KAMALA ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA...
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni, Lulu Mengele (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mh Dodorius Kamala (kulia) wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho...
View ArticleWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII AZINDUA NEMBO MPYA YA AMREF HEALTH AFRICA...
Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania Dr. Festus Ilako (wa kwanza Kushoto) Akimkaribisha Waziri wa Afya Dr. Seleman Seif Rashid kuzindua Nembo Mpya.Waziri wa Afya, Mwenyekiti wa bodi ya kimataifa...
View ArticleASHLEY COLE ATUA AS ROMA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
Ashley Cole akisaini Mkataba wa miaka miwili RomaHatamiye mchezaji wa zamani na beki wa timu ya taifa ya Uingereza pamoja na Chelsea, Ashley Cole 33,amejiunga rasmi na timu AS Roma na kukubali kutia...
View ArticleTAARIFA YA KISOMO CHA AROBAINI YA NDUGU YETU MAREHEMU (BONDIA) IRAKI HUDU (RIP)
MAREHEMU IRAKI HUDU (RIP) Ndugu wanajumuiya, mabibi na mabwana Familia ya marehemu (Bondia) Iraki Hudu,inapenda kuwajulisha maadhimisho ya arobaini ya marehemu Iraq Hudu itayofanyika siku ya 19 Julai...
View ArticleWASAFIRI WA TRENI WALIOKWAMA MANYONI WASAFIRISHWA KWA MABASI KUJA DAR
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unawaarifu wananchi kwa jumla kuwa imefanikiwa kuwasafirisha kuja Dar abiria takriban 678 waliokwama katika Stesheni ya Manyoni. Zoezi hilo linaloendeshwa kwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 9, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: BRAZIL ILISTAHILI KUFUNGWA NA UJERUMANI BAO 7-1?
Wenyeji wa michuano ya kombe la dunia, Brazil, jana walijikuta wakionekana kama timu ya kata mbele ya Wajerumani waliowaangusha mvua ya magoli katika mechi ya nusu fainali. Mashabiki wa Brazil wakiwa...
View ArticleMBUNGE WA VITI MAALUMU CCM ARUSHA "CATHERINE MAGIGE" ATEMBELEA MAJERUHI WA...
Mbunge viti maalum Mhe.Catherine Magige kupitia chama cha mapinduzi CCM akimjulia hali Deepak Gupta (25 aliyepoteza mguu wake ) mmoja wa majeruhi wa bomu lililolipuka jana usiku majira ya saa 4 usiku...
View ArticleWAZIRI MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA USAGARA- KISESA YENYE UREFU WA JUMLA YA KM...
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LENYE UREFU WA MITA 67.95 KATIKA BARABARA YA USAGARA –KISESA YENYE UREFU WA KM 16.8 WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI...
View ArticleOFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MRADI WA MAKAA YA MAWE NGAKA
Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (ORTM), Dkt. Philip I. Mpango, (wa tano kutoka kushoto) akikagua Mradi wa Makaa ya Mawe Ngaka. Wengine ni viongozi na maofisa kutoka Ofisi ya Rais, Tume...
View ArticleWAZIRI MAGUFULI AZINDUA KIVUKO KIPYA BUNDA
Waziri wa ujenzi Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa iramba katika jimbo la mwibara kabla ya kuzindua kivuko cha mv. mara chenye uwezo wa kubeba tani 25 yani magari manne na abiria 50...
View ArticleMBUNGE ESTER BULAYA ATOA MSAADA WA SHUKA 200 HOSPITALI YA MWANANYAMALA(BUNDA)
MGANGA WA WILAYA YA BUNDA CHARLES MKOMBE AKIMKARIBISHA MBUNGE ESTER BULAYA HOSPITALI YA MANYAMANYAMA KABLA YA KUTOA MSAADA WA SHUKA MBUNGE ESTER AKIZUNGUMZA JAMBO KWA UMAKINI ZAIDI KABLA YA KUTOA...
View ArticleMICHEPUO SIO DILI BAKI NJIA KUU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleNANI KUTINGA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA KATI YA UHOLANZI NA ARGENTINA?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 10 2014
BOFYA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINEPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI 11, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleWAZIRI WA MAZINGIRA DKT. BINILITH MAHENGE AKANUSHA KUTUMIA FACEBOOK YENYE...
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mazingira Dkt Binilith Mahenge amewataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazotolewa kwa jina lake kupitia mtandao wa facebook kwa kuwa yeye hatumii mtandao huo....
View ArticleMWANAMKE AGONGWA NA KUFARIKI PAPO HAPO USIKU WA KUAMKIA JANA MKOANI DODOMA
Watu wakiuangalia mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina jina lake baada kugongwa na gari lisilofahamika na kufa papo hapo, katika eneo la bohari ya mkoa kati ya bunge na kituo cha mabasi yaendayo...
View Article