MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULAI 06, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSOMA USHAHIDI 'KIGOGO WA TRA ALISIMAMIA OTOROSHAJI WA TWIGA' SOMA HAPA KWA...
Shahidi aieleza mahakama wakati wa kutoa ushahidi wake katika kesi ya kutorosha nyara hazoMoshi. Afisa mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Miraji Msakamali alishiki kusimamia utoroshwaji wa...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DODOMA MH. DR. NCHIMBI ATEMBELEA ZAHANATI ILIYOKATALIWA NA...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akikagua nguzo zilizojengwa kwalengo la kuongeza uimara kwenye jengo la zahanati ya kijiji cha Mkonze Manispaa ya Dodoma lililokuwa limeathiriwa na nyufa...
View ArticleUWT WAKEMEA UKATILI WA KIJINSIA UNAOENDELEA KUFANYIKA HAPA NCHINI
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Sophia Simba akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa baraza kuu la umoja huo lilipokutana juzi kwa ajili ya kikao cha kawaida cha mwaka kwenye ukumbi wa...
View ArticleMAWAZIRI WAMIMINIKA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP MAONYESHO YA SABASABA JIJINI...
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji...
View ArticleSHEREHE YA KUMUAGA BI. CELINA KAJERELO ALIYESTAAFU YAFANYIKA MKOANI KAGERA
Bi Celina Kajerelo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka kazini pia alikuwa anafanya kazi kama muuguzi katika hospital ya Mkoa wa Kagera Wajukuu wakiwa na Bibi yao Bi Celina Kajerelo...
View ArticleTAZAMA HAPA RATIBA YA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA KWA TIMU ZILIZOFUZU NUSU FAINALI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleAJALI: GARI AINA YA NOAH LATUMBUKIA KWENYE DARAJA LA CHUMA LINALOUNGANISHA...
Gari aina ya Noah likiwa ndani ya mto baada ya kukosea njia na kutumbukia mtoni. Daraja hili liliharibiwa vibaya na Roli tarehe 19/06/2014.Daraja hili linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea-...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU JULAI 07, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleYALE YALE: WAHUSIKA MNALIONA HILI?
Michepuo sio diliPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article6 of 1,160 DIAMOND PLATNUMZ ATINGA MDANI YA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO
Mashabiki wa Diamond Platnumz wakipata nae picha ya pamoja na Rais huyo wa Wasafi alipokuwa akiwasili kwenye mji wa Olathe jimbo la Kansas ilipo Radio hiyo ya GENN kwa mahajiano kabla ya show yake...
View ArticleTWIGA BANCORP YAJIVUNIA KUWA TAASISI YA KIFEDHA INAYOONGOZA KUTOA HUDUMA BORA...
Mama Mjasiliamali wa kampuni ya Tree of Life,Bi.Jessica Msamba akifafanua jambo kwa Afisa Masoko wa Twiga Bancorp,Bwa.Adalbert Alchard mapema leo mchana kwenye maonesho ya 38 ya biashara ya...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI
Diamond Platnumz prezda wa wasafi akifanya makamuzi Kansas City siku ya Jumapili July 6, 2014 katika kukamulisha sherehe za uhuru wa Marekani onesha lake likihudhuriwa na mashabiki wa Afrika Mashariki...
View ArticleTAZAMA HAPA WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ FEAT IYANYA - BUM BUM (OFFICIAL...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA VIDEO YA NYIMBO MPYA YA "DIAMOND - MDOGO MDOGO"
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 08, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleJERRY SILAA AIFAGILIA METL GROUP KWA KUKUZA UCHUMI NA KUONGEZA AJIRA KWA WAZAWA
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwasili kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya...
View ArticleWANAHABARI: ANDIKENI HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI
Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya...
View ArticleDUBAI KUJENGA JIJI LINALOWEZA KUDHIBITIWA TABIA NCHI (CLIMATE-CONTROLLED...
Dubai inapanga kujenga jiji ambalo linaweza kudhibitiwa joto lake na kuhusisha pia mall kubwa zaidi duniani, sehemu za kupumzikia, hoteli, hospitali na majumba ya sinema.Ikiwa tayari ni sehemu yenye...
View ArticleMAHAFALI YA SHULE YA AWALI YA OJAYS KIDDIES ZONE YAFANA
Watoto wa shule ya Ojays Kiddies Zone iliyopo maeneo ya Kinondoni Block 41, wakiwa kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kwa mahafali ya Kaka na Dada zao wa Laura Class kuanzia miaka 4-5...
View Article