Ashley Cole akisaini Mkataba wa miaka miwili Roma
Hatamiye mchezaji wa zamani na beki wa timu ya taifa ya Uingereza pamoja na Chelsea, Ashley Cole 33,amejiunga rasmi na timu AS Roma na kukubali kutia saini ya mkataba wa miaka miwili na timu hiyo ambapo anatakuwa akipokea mshahara wa Euro elfu 48,000 kwa wiki
Kikosi hicho kilichoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi msimu uliopita As Roma wamethibitisha hilo kwa kupitia mtandao wake wa klabu.
Ashley Cole akijipiga picha na jezi ya Roma