Dubai inapanga kujenga jiji ambalo linaweza kudhibitiwa joto lake na kuhusisha pia mall kubwa zaidi duniani, sehemu za kupumzikia, hoteli, hospitali na majumba ya sinema.Ikiwa tayari ni sehemu yenye maduka makubwa ya ndani kwa ndani ya shopping, Dubai Mall, imesema inapanga kujenga ‘Mall ya dunia’ “Mall of the World”.
Kampuni ya Dubai Holding, inayomilikiwa na kiongozi wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid al-Maktoum imesema jengo hilo litakuwa na ukubwa wa square meta milioni 4.45.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Dubai ina imani kuwa “Mall of the World” inaweza kuvuta wageni zaidi ya milioni 180 kila mwaka.