Bi Celina Kajerelo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka kazini pia alikuwa anafanya kazi kama muuguzi katika hospital ya Mkoa wa Kagera
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mwenyekiti wa sherehe akifungua
Neno la dini likatolewa
HalliethKajerelo akiwa na mdogo wake Coline Kajerelo kwenye sherehe ya mama yao mpendwa baada ya kutimiza miaka 60 na kustaafu kazi.
Mjukuu wa Bi Celina Kajerelo Angel akisikiliza jambo kwa umakini
Ikachezwa ngoma kwa raha zao
Justine Kajerelo(wa kwanza kushoto) akiimba na Wajukuu wa bibi yao Bi. Celina Kajerelo wajukuu hao ni David, Rose, Celina, Anger na Samiat.
Bi. Celina Kajerelo(kushot0) akiwa na Bi. Regina wakiwa wameshika glasi zenye shampeini kwenye sherehe yake alipokuwa anastaafu kazi baada ya kutimiza miaka sitini.
Kushoto ni Muuguzi mkuu akiwa na muagwa Bi Celina Kajerelo
Watoto wakitoa zawadi kwa mama yao mpendwa Bi Celina Kajerelo na kumshukuru kwa kuwalea na kuwasomesha
Mmoja wa watoto wa Bi. Celina Kajerelo, Justine Kajerelo akieleza jambo walipokuwa wnakabidhi zawadi zao kwa mama yao mpendwa
Chadelva Hope Makoko sambamba na Lily
Baadhi ya wageni waalikwa katika ukumbi wa Lina's
Muda ukafika wa sherehe yenyewe maana sherehe bila chakula sio sherehe
Ongera sana mama yetu Bi Celina Kajerelo kwa kustaafu