Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KALI YA MWAKA; POLISI KILIMANJARO YANASA BUNDUKI MBILI ,MOJA IKIWA IMEFUNGWA...

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa bunduki mbili pamoja na mali kadhaa kufuatia operesheni tokomeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA; MWILI WA SISTA ALIYEPIGWA RISASI ENEO LA UBUNGO WAAGWA JIJINI DAR LEO

Mwakilishi wa mama watawa wakuu wa shirika la malkia kutoka Mbeya akilia kwa uchungu.SISTA Cresensia Kapuli aliyepigwa risasi Jumatatu Juni 23, 2014 maeneo ya Ubungo, River Side na watu wanaosadikiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JUNE 27, 2014

    ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA          Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE...

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mbepera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya KitanzaniaDiva wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YATOA SEMINA KWA MAOFISA WA POLISI MKOA WA KILIMANJARO

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP ,Robert Boaz akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro iliyoandaliwa na Mamlaka ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO ZA WATU KUTOLEWA LEO

Tuzo za watu za Tanzania au Tanzania People’s Choice Awards zitatolewa leo kwenye ukumbi uliopo Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Jumla ya vipengele 11 vinashindaniwa na nominee watatu katika kila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA RED CARPET YA TUZO ZA WATU ZILIZOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA SERENA HOTEL

Mzee Majuto akiwa kwenye red carpet ya Tuzo za watu Salum Kikeke akipata ukumbusho kwenye tuzo za Watu NI kupendeza tu kwenye  tuzo za watuENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI  Babu Tare...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS; MABASI YAENDAYO MIKOANI MKOANI MWANZA YAGOMA

Kwa habari tulizo zipata hivi punde kutoka Mkoani Mwanza ni kwamba mabasi yote yanayofanya kazi ya kusafirisha abiria kwenda mikoa mbalimbali hapa nchini yamegoma. Kwa sababu ya mwanzo tuliofanikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA WASTE PRO LTD YAADHIMISHA SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA MIWILI KATIKA...

 Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Mr. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam ususani kwenye manispaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNE 28, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA; YALIYOJIRI KWENYE TUZO ZA WATU UKWENYE VIWANJA VYA SERENA HOTEL

Burudani ikiendelea ndani ya Ukumbi uliopo Serena Hotel katika sherehe za utoaji wa Tuzo za watuENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Wadau wakifuatilia Tuzo za WatuJimmy Kabwe akiendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO RATIBA KAMILI YA MECHI KWA TIMU ZILIZOFUZU KWENYE 16 BORA KATIKA...

  ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOSPITALI YA MUFINDI YAPATA MSAADA WA VITI VYA KUBEBA WAGONJWA

 Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Dk Goodluck Mlimbila akijaribu kusukuma moja kati ya viti 33 vilivyotolewa na asasi ya MUVIMA kwa ajili ya hospitali ya wilaya ya Mufindi. Anayefurahi katikati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNE 29, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA UDOM WAKWAMA USAFIRI KUTOKANA NA UCHACHE WA MABASI

 Askari polisi anayelinda usalama wa abiria na mali zao katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani akijalibu kutoa maelekezo kwa wanafunzi wa UDOM waliofika kutafuta usafiri kituoni hapo na kukuta hali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA TMT WAINGIA RASMI KAMBINI JANA USIKU, TAYARI KWA...

 Muonekano wa TMT House ambayo washiriki 20 wa Shindano la Tanzania Movie Talents wameweka kambi rasmi kuanzia jana Usiku kwa mchakato wa kuwania Milioni 50 katika fainali itakayofanyika Mwishoni mwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: BUNGE LAAHIRISHWA HADI NOVEMBA 4, 2014

 Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akihutubia Bunge kabla ya kuahirishwa hadi Novemba 4, 2014  Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kuhusu Mswada wa Fedha wa Mwaka 2014 ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA NA UDOWNLOAD VIDEO YA NYIMBO MPYA YA KALA JEREMIAH - SIMU YA MWISHO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALEYALE: GARI KUBWA LAHARIBU BARABARA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM

 Gari kubwa ‘likilazimisha’ kupita barabara finyu eneo la Mwananyamala, Dar.GARI kubwa la kubeba mizigo ambalo halikutakiwa kupita barabara finyu eneo lijulikanalo kama  Peace,  Mwananyamala, jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO PAMOJA NA MICHEZO NYINGINE ZITAKAZOCHEZWA KWENYE KOMBE LA...

ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>