Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Mr. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam ususani kwenye manispaa ya Ilala
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kwenye ukumbi wa makumbusho siku ijumaa tarehe 27, 2014.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kushoto ni Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd bwana MArk Anthony Shayo na kulia ni afisa Mazingira katika manispaa ya Ilala Mr. Mapunda
Risala ya wafanyakazi wa Kampuni ya Green WastePro Ltd ikusomwa mbele ya mgeni rasmi
Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Mr. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo na mgeni rasmi Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mrs. Anna Emili
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mrs Mwajabu Said
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mrs Sia Ulio
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mrs. Fatma Salehe
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mr. Hamza Saidi
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mr. Hassan Juma
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mr. Kelvin Jonas
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mr. Sudi Juma
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mr. Salum Juma
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mrs. Marry Baraka
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Mrs. Carolina Ilomo
Wafanyakazi wakisikiliza jambo
Ulifika muda wa kufungua Shampeini kwa ajili ya kusherekea miaka miwili ya Green WastePro Ltd
Kushare upendo
Picha za Pamoja
Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Mr. Mark Anthony Shayo akiserebuka na wafanyakazi wenzake