Tuzo za watu za Tanzania au Tanzania People’s Choice Awards zitatolewa leo kwenye ukumbi uliopo Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Jumla ya vipengele 11 vinashindaniwa na nominee watatu katika kila kimoja wameingia fainali. Mshindi katika kila kipengele atapewa zawadi ya shilingi milioni moja pamoja na trophy. Host wa tuzo hizi ni mtangazaji mkongwe wa radio, Jimmy Kabwe. Pamoja na burudani mbalimbali zitakazokuwepo, video mpya ya Ben Pol ya wimbo wake ‘Unanichora’ aliomshirikisha Joh Makini itazinduliwa.
HII ORODHA YA NOMINEES WA TUZO ZA WATU WALIOINGIA FAINALI
1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA
1. Millard Ayo – Clouds FM
2. Hamis Mandi aka B12 – Clouds FM
3. Maryam Kitosi – Times FM
2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA
1. XXL– Clouds FM
2. Amplifaya – Clouds FM
3. Hatua Tatu
ENDELEA KUTIZAMA MAJINA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
3. MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA
1. Salama Jabir – EATV
2. Sam Misago – EATV
3. Salim Kikeke – BBC Swahili
4. KIPINDI CHA RUNINGA KINACHOPENDWA
1. Friday Night Live – EATV
2. Mkasi – EATV
3. Planet Bongo – EATV
5. MWANAMICHEZO ANAYEPENDWA
1. Juma Kaseja – Yanga
2. Mrisho Ngassa – Yanga
3. Mbwana Samatta – TP Mazembe
6. MUONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI ZINAZOPENDWA
1. Nisher
2. Adam Juma
3. Mecky Kaloka
7. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIUME
1. My Number – Diamond
2. Jikubali – Ben Pol
3. Love Me – Izzo Bizness f/ Barnaba & Shaa
8. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIKE
1. Amani ya Moyo – Feza Kessy
2. Closer – Vanessa Mdee
3. Yahaya – Lady Jaydee
09. MUIGIZAJI WA KIUME KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
1. Jacob Stephen aka JB
2. King Majuto
3. Hemedy Suleiman
10. MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
1. Elizabeth ‘Lulu’ Michael
2. Jacqueline Wolper
3. Wastara Juma
11. FILAMU INAYOPENDWA
1. Foolish Age
2. Shikamoo Mzee
3. Ndoa Yangu