Gari kubwa ‘likilazimisha’ kupita barabara finyu eneo la Mwananyamala, Dar.
GARI kubwa la kubeba mizigo ambalo halikutakiwa kupita barabara finyu eneo lijulikanalo kama Peace, Mwananyamala, jijini Dar es Salaam, limeharibu sehemu ya mtaro wa barabarani na barabara nyenyewe baada ya kulazimisha kupita katika barabara hiyo na kusababisha foleni kwa muda.
Eneo la mtaro na barabara lililoharibiwa na gari hilo kubwa.PICHA NA GPL