WACHEZAJI 11 WA YANGA KUTOITUMIKIA TIMU HIYO MSIMU UJAO
Kutokana na ripoti ya Benchi la Ufundi iliyowasilishwa mara baada ya kumalizika kwa Msimu wa Ligi Kuu 2013/2014 baadhi ya wachezaji hawataitumikia tena Yanga SC kwenye msimu ujao, wachezaji 11...
View ArticleMAUAJI MENGINE KENYA, 20 WAUAWA WAJIR
Moja ya mashambulizi ya kigaidi yaliyowahi kutokea nchini Kenya na kusababisha maafa Kuna taarifa kuwa watu ishirini wameuawa katika shambulio kwenye kijiji Mashariki Kaskazini mwa Kenya.Mwandishi wa...
View ArticleMISIMAMO YA TIMU ZINAZOENDELEA NA MASHINDANO KWENYE KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL
ENDELEA KUTIZAMA MISIMAMO MINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNE 24, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUPDATES: AJALI YAUA MTU MMOJA MKOANI IRINGA
Mwonekano wa gari dogo aina ya Land Rover Freelander lenye namba T368 CVK baada ya ajali hiyo.Inavyoonekana kwa nyumaENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINIhii ni sehemu ya mbele ya gari...
View ArticleWASHINDI WA TMT KUTOKA KANDA YA ZIWA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WAWASILI DAR ES...
Washindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kutoka Kanda ya Ziwa wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere, Jijini Dar Es Salaam jana kwaajili ya Kuingia kambini tayari kwa safari ya...
View ArticleBINTI SELITIAN NATA, MWENYE UVIMBE ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU
Na John Gagarini, Bagamoyo.MSICHANA Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo kata ya Vigwaza Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani yuko kwenye hali mbaya ya kiafya baada ya kuvimba mguu na kuwa kwenye...
View ArticleAJALI YATOKEA JIJINI DAR BAADA YA GARI DOGO KUTUMBUKIA MTARONI ENEO LA MIVINJENI
Gari lenye namba za usajili T 894 BEN Toyota Corola lililokuwa likiendeshwa na mwanamama aliyekuwa na watoto wake wawili limepata ajali kwa kutumbukia kwenye mtaro eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es...
View ArticleTBS YAKAMATA SHEHENA YA NGUO ZA NDANI
Dar es Salaam. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekamata shehena ya marobota ya nguo za ndani za mitumba ambazo thamani yake haijajulikana kwa kuwa zimechangaywa na nguo za watoto.Mkaguzi wa TBS,...
View ArticleMANISPAA YA ILALA YASAINI MKATABA WA BILIONI 2.1 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI...
Meya Wa Ilala Mh Jery Silaa Akiwasili kata ya Kipunguni na kupokelewa na Diwani wa kata Hiyo Na Viongozi wengine . Mkandarasi wa kampuni Kika Construction Mbaraka Kihawe akimkaribisha Meya Wa Ilala Mh...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNE 25, 2014
BOFYA HAPA KUENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINEPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: BUNGE LAPITISHA BAJETI YA SERIKALI YA 2014/2015
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2014-015. Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati...
View ArticleFILAMU YA ESPINHO DA ROSA “THE THORN OF THE ROSE” YATWAA TUZO TATU TAMASHA LA...
Malkia wa Filamu ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau ADY de Batista akiwasili huku akiongozana na Meneja wake Sholey Maqueta kwenye usiku maalum wa tuzo...
View ArticleTAARIFA YA KUFARIKI KWA MBUNGE SHUKURU KAWAMBWA SIO ZA KWELI SOMA HABARI...
Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS JUNE 26, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA; MBINU MPYA YA USAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA YABAINIKA MKOANI...
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINIKamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa...
View ArticleFARIDA FOUNDATION YATOA MISAADA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA NA KWA WALEMAVU...
Mkurugenzi wa Farida Foundation akikabidhi moja ya msaada kwa kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle,Huku wafanyakazi wengine wa Hospitali hiyo wakishuhudia. Bi Farida Abdul...
View ArticleUZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa taarifa ya kukanusha uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) na kulia...
View ArticleWASHIRIKI WA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WATEMBELEA...
Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya...
View ArticleSIKILIZA NA UDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA KALA JEREMIAH - SIMU YA MWISHO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article