Kwa habari tulizo zipata hivi punde kutoka Mkoani Mwanza ni kwamba mabasi yote yanayofanya kazi ya kusafirisha abiria kwenda mikoa mbalimbali hapa nchini yamegoma. Kwa sababu ya mwanzo tuliofanikisha kuipata ni kuwa madereva wa mabasi hayo wanagomea matuta ya barabarani.
Habari kamili itawaijia hivi punde