Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: BUNGE LAAHIRISHWA HADI NOVEMBA 4, 2014

$
0
0

 Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akihutubia Bunge kabla ya kuahirishwa hadi Novemba 4, 2014 
 Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kuhusu Mswada wa Fedha wa Mwaka 2014 ambao umepitishwa na Bunge Leo.


ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya mashariki Mhe.Samweli Sita akibadilishana mawazo na waziri Mwenzake Mhe,Mary Nagu.
 Mwanasheria Mkuu Mhe.Jaji Frederick Werema akimpa mkono wa kumpongeza  Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda mara baada ya kulihuitubia Bunge.
Spika Mhe. Anna Makinda akiahirisha Bunge 

Wabunge wakisimama baada ya Bunge kuahirishwa rasmi hadi Novemba 4, mwaka huu. Picha na Deusdedit Moshi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>