Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII WA BONGO MOVIE NISHA AULA, AWA BALOZI WA SOLAR POWER

Msanii mkubwa katika tasinia ya maigizo maarufu kama (Bongo movie)  hapa nchini Tanzania, Salma Jabu kwa jina la usanii maarufu kama NISHA aweka record kwa miaka miwili mfululizo ya kukimbiza mauzo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: MAHABUSU AVUA NGUO NA KUBAKI UCHI ILI KESI YAKE ISIKILIZWE

  Askari polisi wakiwalinda mahabusu wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, wakiwa wameng'ang'ania mlingoti wa Bendera ya Taifa huku mnoja akiwa mtupu mara baada ya kutoroka toka kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KWENYE UWANJA WA JOMO KENYATTA NCHINI...

Mwanaume mmoja Mtanzania amekamwata katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Nairobi Kenya akiwa amebeba dawa za kulevya akiwa njiani kuelekea Antananarivo ambapo mzigo huo ulitokea Tanga kisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI KWENYE BUNGE LA BAJETI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014. Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NI MOJAWAPO YA SIFA YA JIJI LA DAR ES SALAAM

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUTOKA FAST JET, EAST AFRICAN DEVELOPMENT BANK NA NHC

TIZAMA NAFASI ZA KAZI KWA KUBOFYA HAPAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MAY 09, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEREVA WA HALMASHAURI IRAMBA AFIA GESTI AKIFANYA MAPENZI

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida SACP, Geofrey Kamwela.Na Nathaniel Limu, SingidaDEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida Juma Juma (52) amefariki dunia wakati akifanya mapenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII WA BONGO MOVIE NISHA AELEZA SIRI YA KUFANIKIWA KWAKE AKIWA NDANI YA...

Msanii mkubwa katika tasinia ya maigizo maarufu kama (Bongo movie)  hapa nchini Tanzania, Salma Jabu kwa jina la usanii alimaarufu kama NISHAatoboa siri ya yeye kuwa juu haraka na kuwazidi wasanii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND NI MOTO WA KUOTEA MBALI, ONA WALIVYOPAGAWISHA MASHABIKI WAO...

Aneth kushaba(AK 47)akiiimba kwa hisia kali ndani ya kiwanja cha kijanja cha Thai Village akiwa na kikosi kamili cha Skylight Band.Wanamwita Sam Mapenzi mzee wa Sauti nyororoooo akipagawisha vilivyooo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KALI YA MWAKA: MENO YA TEMBO YAIBWA KATIKA KITUO CHA POLISI

 Polisi akilinda sehemu ya shehena ya meno ya tembo iliyokamatwa Dar es Salaam hivi karibuni. Picha ya Maktaba Meno ya tembo yaliyohifadhiwa kwa ajili ya vielelezo mahakamani yalitoweka katika Kituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI

Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea Dar es salaam.Gari ni kampuni ya Dar Express iliyokua ikielekea Nairobi.. Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKIONA HIVI UJUE KUNA DEREVA WA BODABODA AMEGONGWA

Ajali hii imetoke eneo la TOT barabara ya Mandela Road leo asubuhiPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANASAYANSI WAKARIBIA KUPATA DAWA ITAKAYOZUIA MTU KUZEEKA

Watu wengi wangetamani kuona hawazeeki, wanabakia na nguvu za ujana na kwa sababu hiyo wanasayansi wanatafiti kupata ufumbuzi.Vyuo vikuu vitatu maarufu duniani vimekuja na matokeo ya utafiti ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI NANI ALISTAHILI KUWA PRODUCER BORA WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KWENYE KTMA...

Mwaka huu tuzo za muziki za Kilimanjaro hazijawa na malalamiko kwenye vipengele vingi kama ilivyokuwa miaka iliyopita. Pamoja na Diamond kuzoa tuzo zote saba alizotajwa, ni ushindi wa Fid Q pekee ndio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU...

 Meneja Mradi wa ujenzi wa Daraja la Mbutu,Injinia Makoye Luhuya akielezea maendeleo ya ujenzi wa daraja la Mbutu kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana mapema leo,wilayani Igunga mkoani Tabora Ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WAWILI WAPIGWA BAADA YA KUSEMEKANA WAMEMWIBIA MDADA ENEO LA...

Vijana wawili  waliokuwa na pikipiki walimfuatilia mdada aliyekua anatokea Access Bank leo jioni eneo la Kijitonyama na kumpora mkoba wake kwa bahati mzuri nyuma yao alikuwepo msamaria mwema anakuja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI WAFUKUZWA...

Na Dixon Busagaga CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI KWENYE BUNGE LA BAJETI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge wakati alipohitimisha hoja ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Mei 9, 2014. Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akiwa anaendesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI KIVULI LATANGAZWA LEO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>