Msanii mkubwa katika tasinia ya maigizo maarufu kama (Bongo movie) hapa nchini Tanzania, Salma Jabu kwa jina la usanii maarufu kama NISHA aweka record kwa miaka miwili mfululizo ya kukimbiza mauzo ya filamu zake sokoni bila mpinzani.
Na sasa amekuwa kivutio katika kampuni mbalimbali hapa nchini na kupewa kuwa balozi katika kampuni ya umeme wa jua yaani (Solar Sower.)
Msanii Nisha ameshafanya filamu nne ambazo zimetikisa na kuweza kumpa mafanikio hayo hadi sasa. Filamu hizo ni kama MACHO YANGU, TIKISA, PUSI NA PAKU, GUMZO, NA HII MPYA YA ZENA NA BETINA.
Msanii Nisha ameshafanya filamu nne ambazo zimetikisa na kuweza kumpa mafanikio hayo hadi sasa. Filamu hizo ni kama MACHO YANGU, TIKISA, PUSI NA PAKU, GUMZO, NA HII MPYA YA ZENA NA BETINA.