Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANAYOENDELEA KUJIRI KWENYE SHOO YA SKYLIGHT BAND VIWANJA VYA THAI VILLAGE

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 10, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM WAFANYA ZIARA WILAYANI YA IGUNGA

Katibu MKuu wa CCM,Ndugu Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa wakala wa uuzaji wa matrekta kwa wanavikundi, yanayouzwa na Vijana SACCOS LTD, ya Igunga, inayojumuisha vikundi mbalimbali vya wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI WA MIAKA 11 AFARIKI KWA AJALI MKOANI MBEYA

Mwanafunzi wa shule ya msingi Jangurutu darasa la tano aliyetambulika kwa jina la Habibu Dismass (11) amefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na gari lenye namba za usajili T.120 AMV aina ya Camry...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAJUE MAMBO SABA(7) WANAYOFANYA WATU WALIOFANIKIWA KITAALUMA

Taaluma na mfumo wetu unaweza kuwa tofauti kidogo ila mambo huwa yanakwenda kwa mlinganyo fulani ambao unatakiwa kuufahamu, hasa kwenye taasisi binafsi ambazo kinachoangaliwa ni utendaji na uwajibikaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NDIO MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA, NANI KUTWAA UBINGWA KESHO?

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYUO VITANO VYARUHUSU MIKOPO HEWA

  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),Ludovick UtohMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini kuwapo kwa wanafunzi wanaopatiwa mikopo katika vyuo vitano nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE SMALL ASEMA BADO HAYUKO VIZURI KIAFYA

Msanii mkongwe wa vichekesho, Said Ngamba almaarufu kama Mzee Small,amesema ingawa bado anaishi lakini afya yake bado haijawa vizuri.Mzee Small ameiambia Mtandao huu kuwa bado ‘naugua ingawa naishi’...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHRIS BROWN AKIRI KUVUNJA SHERIA, AONGEZEWA KIFUNGO CHA SIKU 131 JELA

 Ijumaa (May 9), Chris Brown alifikishwa katika mahakama ya Los Angeles ambapo alikiri kuvunja sheria/ masharti ya probation yake baada ya kumshambulia mtu mwaka jana huko Washington, D.C.Jaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAFIRI WA MOMBO-KOROGWE KUELEKEA WILAYA YA LUSHOTO WAKWAMA KWA TAKRIBANI...

 Jiwe kubwa Likiwa limeanguka toka mlimani na kuziba Barabara ya Vuga Kutoka Mombo kuelekea korogwe na Lushoto Baadhi ya wasafiri wakitembea kwa miguu baada ya kukwama eneo  Vuga  kwa takribani Masaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MADUKA DDC KARIAKOO YAWAKA MOTO

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya maduka yaliyopo eneo la DDC Kariakoo, Dar yanawaka moto.Habari kamili inawaijia hivi punde.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MAY 11, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU TANZANIA YAFUNGWA RASMI KATIKA UWANJA WA JAMHURI...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Ghalib Bilal akiwa na moja ya tuzo zilizotolewa kwa walimu wa Shule zilizofanya vizuri katika Elimu 2013 wakati wa kilele cha wiki ya Elimu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO NI LEO KWENYE LIGI YA UINGEREZA, TAZAMA MECHI ZITAKAZOCHEZWA LEO PAMOJA...

ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BOB MARLEY SOMA HISTORIA YAKE HAPA

Robert Nesta "Bob" Marley (6 Februari 1945 - 11 Mei 1981) BOB MARLEY mwimbaji na mwanamuziki muhimu kutoka nchini Jamaika. Alivuma hasa kunako miaka ya 1970 na 1980. Ameweza kuifanya staili ya muziki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATEMBEZI YA SUSAN G. KOMEN WASHINGTON, DC

 Mmoja ya waandaaji wa matembezi ya Susan G. Komen ya saratani ya matiti akielezea jambo kabla ya kuanza kwa mbio kwa ajili ya mapambano ya Saratani hiyo hatari kwa akina mama ambayo Team Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO AUA WAZAZI WAKE WAWILI NA KUCHOMA MOTO NYUMBA MKOANI KILIMANJARO

WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Yusuf Njau (32),  anayeaminika kuwa ni mtoto wa wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba  yao na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA FIFA SEPP BLATTER ATANGAZA KUGOMBEA TENA MWAKANI

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter ametangaza kwamba atatetea nafasi yake kwenye uchaguzi ujao mwakani.Blatter alikuwa akidhaniwa kwamba angestaafu na tayari wanamichezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MTU WAOKOTWA KWENYE MTO MZINGA, KONGOWE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwili wa mtu huyo ukielea kwenye maji ya mto Mzinga. Kamera yetu leo hii imenasa mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER CITY YATWAA KOMBE LA LIGI YA UINGEREZA 2013/14

 HATIMAYE timu Manchester City, imetawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu England kwa msimu wa 2013/14 kufuatia ushindi wa mabao 2-0 walioupata dhidi ya Wagonga Nyundo wa London, West Ham United...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>