Vijana wawili waliokuwa na pikipiki walimfuatilia mdada aliyekua anatokea Access Bank leo jioni eneo la Kijitonyama na kumpora mkoba wake kwa bahati mzuri nyuma yao alikuwepo msamaria mwema anakuja na Toyota Carina alipowaona in action akawafuata na gari na kuwasukumia mtaroni, ambapo wananchi waliwadaka na kuwapa kichapo cha mbwa mwizi ona hapa baada ya kichapo wapo Hoi