Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014.
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na mpambe wa Bunge kutoka ukumbili leo Mei 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)