Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MSANII WA BONGO MOVIE NISHA AELEZA SIRI YA KUFANIKIWA KWAKE AKIWA NDANI YA TASINIA HIYO

$
0
0
Msanii mkubwa katika tasinia ya maigizo maarufu kama (Bongo movie)  hapa nchini Tanzania, Salma Jabu kwa jina la usanii alimaarufu kama NISHA
atoboa siri ya yeye kuwa juu haraka na kuwazidi wasanii wenzake wa kike kwenye soko la bongo movie  licha ya kusota sana 
Alianza kwa kusema mafanikio hayo yamekuja kwa njia nyingi ya kwanza ni kujituma katika kazi,   hapendi kupoteza muda bila sababu; pili kuwa karibu na watu wa kazi yaani director ili kupata mawazo mapya kutoka kwao na pia kuwa busy kutazama filamu mpya kila siku na kingine kupata ushauri kwa watu wake wa karibu sana ni kipi kifanyike ili afike mbali.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>