SIKU YA UKIMWI DUNIANI, WANAUME WILAYANI HANDENI WAASWA KUPIMA AFYA ZAO ILI...
Kamanda wa Polisi wa Wilaya Handeni, OCD Zuberi Chembera, wa pili kulia mwenye koti jeusi akionyesha ujuzi wa kusakata rhumba katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, ambapo kiwilaya, yalifanyika...
View ArticleMAMIA WAFURIKA KUSHUHUDIA BONANZA LA WAZI LA MASUMBWI NDANI YA KITUO CHA...
Hawa ni wazee wa zamani ambao sasa ni walimu wa mchezo wa Ngumi, Wakati wao ndio walikuwa Mabondia Wakubwa Wapigangoma wa Kikundi cha Ngoma ya Mchiriku cha Jagwa wakitumbuiza katika Bonanza la...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI YA LIGI KUU YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA...
ENDELEA KUSOMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHII HATARI SANA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUPDATES: MALORI YAGONGANA NA KUZIBA NJIA ENEO LA WAMI, MSAADA
Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami.Ajali mbaya imetokea muda huu eneo la mto wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia...
View ArticleHAYA NDIYO MAKOSA 11 ANAYOTUHUMIWA ZITTO KABWE NA CHAMA CHAKE CHA CHADEMA
MASHITAKA 11 dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, yamebainisha kuwa kosa kubwa la kiongozi huyo kijana, ni nia yake ya kutaka kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman...
View ArticleDK. SLAA, MBOWE WAPIGWA MARUFUKU MWANZA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa, wamepigwa marufuku kukanyaga jijini Mwanza.Pamoja na onyo hilo, pia viongozi hao...
View ArticlePAUL WALKER ALIKUWA KIPENZI CHA WENGI, MASTAR MBALIMBALI DUNIANI WAOMBOLEZA...
Kifo cha star wa Hollywood Paul Walker kilichotokea Jumamosi iliyopita (Nov 30) kimewagusa watu wengi kutokana na jinsi ambavyo star huyo wa Fast and Furious alivyokuwa akipendwa.Ukitembelea mitandao...
View ArticleKHAAAH!!! HAMA KWELI TANZANIA KUNA VIPAJI VINGI MTIZAME PUNGO KIPINGE...
Huyu ndiye Pungo Kipinge kijana mwenye kipaji cha hali ya juu Sasa kazi imeanza kama unavyojionea hakuna kuigiza hapa huu ndio ukweli wa kudhihirisha kipaji kikubwa alichonacho kijana Pungo Kipinge...
View ArticleTEKNOLOJIA YA MIWANI KWA WASIOONA YAVUMBULIWA
NOOR SHIJA Kwa miaka mingi, watu wenye ulemavu wa kuona, wasioona kabisa na wale wenye uono hafifu, wengi wao wamekuwa wakitumia fimbo maalumu (white cane) kwa ajili ya kutambua vitu vilivyo mbele...
View ArticlePICHA YA LEO: WEKA KICHWA CHA HABARI KWENYE PICHA HII
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAMKO LA KIKAO CHA MKOA – CHADEMA - KIGOMA
PAMOJA NA BAADHI YA VIONGOZI WA MAJIMBO NA HII NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKikao kilichofanyika ofisi ya Mkoa Ujiji kilibeba AGENDA ya Kujadili na Kuboresha ujio wa ziara ya Katibu Mkuu (T) Dr. P....
View ArticleWAZIRI MKUU THAILAND AKATAA MADAI YA WAANDAMANAJI KUJIUZULU
Mabomu ya machozi yakiwa yanapigwa katika mitaa ya Bangkok. Raia huyu akirusha bomu la machozi kwa askari lililorushwa upande wao ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIWapinzani wakijaribu...
View ArticleUAMUZI WA SHTAKA LA SHEIKH ISSA PONDA KUTOLEWA DESEMBA 11, 2013
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imesema itatoa uamuzi wa kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam au la dhidi ya...
View ArticleMJUE MNYAMA NGIRI NA MAISHA YAKE
Ngiri ni Mnyamapori mtukutu huwasumbua wakulima wa mihogo na viazi vitamu hivyo hulazimika kuwindwa lakini huweza kukimbia kwa kasi kati ya kilometa 48 kwa saa kwa urefu wa mita 200 mwendo ambao ni wa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE DECEMBER 03, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTRAIN ILIYOUA WATU 4 NA KUJERUHI 60 NEW YORK SIKU YA JUMAPILI NDIYO HII HAPA
Train iliyoua watu wa nne na kuacha majeruhi 60 na change NY katika eneo la Bronx NY, Chanzo cha ajali hii inasemekani ni speed na mbaya zaidi ilikuwa kwenye corner. Ni mtihani wa kwanza kwa Mayor...
View ArticleMABADILIKO UPINZANI BUNGENI, MAWAZIRI VIVULI MIZIGO KUTOSWA
Dodoma, Rukwa, Kigoma. Kambi ya Rasmi ya Upinzani Bungeni, itafanya mabadiliko makubwa katika Baraza lake Kivuli wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Bunge unaoanza leo mjini Dodoma.Panga pangua hiyo ambayo...
View ArticleWATU WANA KIPAJI CHA MAAJABU: MTAZAME MZEE HUYU MWENYE UMRI WA MIAKA 79...
Mzee Werner Freund ambaye ni mtafiti wa zamani wa wanyama hao nae sasa amekuwa kama mnyama tuu mtazame hapa anakula bila wasiwasi Inajulikana kabisa kuwa Mzee Warner Freund mwenye umri wa miaka 79...
View ArticleMADIWANI CCM,CHADEMA WAPIGANA NGUMI KAVUKAVU
Wawili wajeruhiwa,walazwaKisa kuhoji matumizi ya Milioni 95/-Madiwani wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, wamejeruhiwaA vibaya hadi kulazwa katika...
View Article