Huyu ndiye Pungo Kipinge kijana mwenye kipaji cha hali ya juu
Sasa kazi imeanza kama unavyojionea hakuna kuigiza hapa huu ndio ukweli wa kudhihirisha kipaji kikubwa alichonacho kijana Pungo Kipinge na hapo kumbuka yuko juu ya meza.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Pungo Kipinge akiwa amejikunja kama hana mifupa vile
Wengine wanaweza kusema Pungo Kipinge anavunjika kumbe yeye hapo yuko vizuri
Sasa kijana Pungo Kipinge analamba moto hii weka mbali na watoto maana unaweza kuuguza mtoto hositalini mwaka mzima