TUNDA MAN ADAI ALIIRUDISHA BASTOLA ALIYOKUWA ANAMILIKI, KUTOKANA NA KUSHINDWA...
Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan aka Tunda Man, alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanamiliki silaha za moto (bastola), kitu kilichofahamika na kuandikwa na baadhi ya vyombo...
View ArticleTANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUTOKA TANROADS HIZI HAPA
TIZAMA NAFASI ZA KAZI KWA KUBOFYA HAPAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHAYA NDIO MAMBO 10 YALIYOMFANYA CARLOS SLIM KUWA TAJIRI NAMBA MOJA(1) DUNIANI
Carlos Slim Helu.CARLOS Slim Helu, 73, raia wa Mexico, ambaye ni tajiri nambari moja duniani. Utajiri wake unafikia dola bilioni 66.8 (shilingi trilioni 107). Carlos anaeleza mambo 10 ambayo...
View ArticleDK.SLAA AONYWA KWENDA KIGOMA
Uongozi wa mkoa wasema hali si nzuriKisa Zitto kuvuliwa nyadhifa zoteUONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kigoma umemshauri Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk.Wilbrod Slaa kufuta...
View ArticleBING YAMTAJA BEYONCE KAMA MTU ALIYETAFUTWA ZAIDI KWENYE MTANDAO MAREKANI...
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2013 vyombo mbalimbali vimeendelea kutoa tathmini ya mwaka kwa kazi wanayoifanya na kutoa picha ya kile kilichopendwa zaidi na watu.Search engine ya Bing imetoa majina...
View ArticleBREAKING NEWS: OFISI YA CHADEMA MKOA WA ARUSHA YACHOMWA MOTO
Hapa ndipo walipoingilia waliochoma ofisi ya CHADEMA mkoani ArushaNa aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia CCM miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi...
View ArticleSPIKA WA BUNGE MH. ANNE MAKINDA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi Bungeni Dodoma hiyo. Kamati hiyo imekaa leo kupitia ratiba ya shughuli zitakazokuwemo kwenye mkutano wa 14 wa Bunge ulioanza leo....
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI
Kijiwe No. 44 from Luke Joe on Vimeo.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMWENYEKITI WA CHADEMA MKOANI SINGIDA AJIUZURU KWENYE NAFASI YAKE YA UENYEKITI...
WILFRED NOEL KITUNDUMWENYEKITI CHADEMA MKOA SINGIDAS.L.P 2603.12.2013KATIBU WA CHADEMA MKOAS.L.P 260SINGIDAYAH: - KUJIUZURU UENYEKITI MKOA SINGIDASomo hapo lahusika,Ninapenda...
View ArticleJE WAJUA KUWA NGUCHIRO NDIYE MNYAMA BINGWA WA KUUA NYOKA NA ANAE MUOGOPA COBRA?
Nguchiro-JangwaNa Lwitiko Peter JE WAJUA?Nguchiro bingwa wa kuua nyoka anayeogopa cobraNGUCHIRO ni mnyama mdogo jamii ya panya, anayepatikana kwa wingi barani Afrika na kusini mwa mabara ya Ulaya na...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO DECEMBER 04, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleGARI AINA YA TOYOTA HILUX LAGONGA TREINI MKOANI DODOMA MJINI
Gari aina ya Toyota Hilux lenye namba za usajili T697 BNB likiwa vibaya kutokana na kugonga treni ya abiria kwa mbele iliyokuwa ikitokea mikoa ya kanda ya ziwa. barabara ya iringa DodomaAsikari wa...
View ArticleMTAZAME TWIGA HUYU PEKEE KUTOKA MONDULI TANZANIA ALIVYO NA UWEZO MKUBWA WA...
Twiga huyu akipiga mbizi kwa madaha.Tumekuwa na mazoea sana kuona wanadamu tuu ndio wanajua kuogelea kwa umahili mkubwa ...na kuona viumbe kama Samaki, Mamba na Baadhi ya wanyama kama Mbwa, Ng'ombe...
View ArticleYAYA TOURE ACHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRICA YA BBC 2013
Kiungo wa klabu ya Manchester City ya Uingereza na Ivory Coast Yaya Toure ametangazwa mshindi wa tuzo ya BBC ya mwaka 2013 ya mchezaji bora zaidi wa soka barani Afrika.Toure ambaye jina lake limekuwepo...
View ArticleHII NDIZO PICHA 11 ZINAZOONESHA HALI HALISI YA MITAA MBALIMBALI YA JIJI LA...
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA HAPA NYIMBO 50 ZA BONGO FLAVA ZILIZOSIKILIZWA ZAIDI MTANDAONI MWAKA 2013
Zimebaki siku 26 tu hadi tuumalize mwaka 2013. Kwa kutumia akaunti maarufu za mtandao wa hulkshare zinazomilikiwa na blog tano nchini Tanzania, Bongo5 imeandaa orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi...
View ArticleASAKWA KWA KUTOROSHA,KUBAKA MWANAFUNZI
Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili na unyayasaji wa kijinsia, mtoto mwenye umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi kijiji cha Chinangali mpakani mwa...
View ArticleUPDATES: KAJALA ASHINDA KESI YAKE SASA YUKO HURU
KajalaMahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.Kajala sasa...
View ArticleBREAKING NEWS: TRAINI LA MWAKYEMBE LAGOMA KUONDOKA KWA TAKRIBANI MASAA MATATU...
Baadhi ya wananchi waliofika mida ya saa 11 za jioni wakielekea kwenye traini la Mwakyembe. Hii imetokana na kutokea kwa itirafu kwenye Engine ya Traini ilo. Kutokana na tatizo ilo Imepelekea usumbufu...
View ArticleKUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Adam Malima, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. Waziri wa Nci,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto)...
View Article