SIKILIZA LIVE KUTOKA SOKO LA HABARI KARIAKOO KUPITIA RADIO YA KWANZA JAMII
Leo Jumatatu, Aprili 7, Redio yako ya Kijamii ya KwanzaJamii imeandika historia kwa kuwa redio ya kwanza hapa nchini kuwaletea wasikilizaji dondoo za habari za magazetini kutokea kwenye soko lenyewe la...
View ArticleLEO NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AANDIKA UJUMBE MZITO
Leo (April 7) aliyekuwa muigizaji wa Bongo movie marehemu Steven Kanumba anatimiza miaka miwili tangu afariki dunia. Aliyekuwa mpenzi wake Elizabeth Michael aka Lulu ameandika ujumbe wa kumkumbuka...
View ArticleMBUNGE WA KIGAMBONI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KIGAMBONI KUANGALIA MAENDELEO YA...
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (mwenye fulana ya mistari mbele) akizungumza na baadhi ya kinamama wakazi wa Mji wa Kigamboni waliojitokeza kwa wingi kwenye Kituo cha Afya...
View ArticleLEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 42 YA KIFO CHA SHEIKH ABEID A.KARUME
Leo ni siku ya kumbukumbu ya kitaifa ya tangu kufariki kwa Sheikh Abeid Amani Karume miaka 42 iliyopita.Raisi huyo wa kwanza wa Zanzibar aliuawa kwa kupigwa risasi huko visiwani Zanzibar.Ni uongozi wa...
View ArticleSHOWROOM YA MAGARI YAUNGUA JIJINI DAR
Magari yakiwa yameteketea kwa moto.Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado...
View ArticleMOblog INAOMBA RADHI KWA WASOMAJI WAKE
Mtandao wako wa habari www.modewjiblog.com unaomba radhi wa wasomaji wake kwa kutokuwa hewani kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza siku ya Jumamosi ambayo yameshughulikiwa na wataalamu...
View ArticleTIMU YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA LA WATOTO WA MTAANI
Timu ya mpira wa miguu ya Watoto wa Mtaani ya Tanzania imetwaa Kombe la Dunia kwa watoto wa mtaani baada ya kuilaza timu ya Burundi bao 3-1 kwenye fainali iliyopigwa Rio de Janeiro nchini Brazil...
View ArticleHITMA YA MAREHEMU MZEE KARUME YASOMWA LEO ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya CCM Kisiwandui leo katika hitma na dua ya Rais wa kwanza wa...
View ArticleMH. MWANDOSYA AONGOZA MAADHIMISHO YA 20 YA MAUAJI YA KIMBARI YALIYOTOKEA...
Maandamano yakiwa yameanza kuelekea ukumbi wa Mlimani City Mmoja ya Waandamaji wa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Rwanda ikiwa imetimia Miaka 20 akiwa amebeba Mwenge Maalum kwa ajili ya Maadhimisho....
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 08, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleMTU MMOJA AFARIKI NA WENGINE 19 WAJERUHIWA VIBAYA NA MAJAMBAZI ENEO LA DOMA...
Mtu mmoja amefariki dunia na 19 wamejeruhiwa na kuporwa vitu mbalimbali zikiwemo simu za mkononi na fedha baada ya majambazi kufunga barabara kwa mawe na magogo na kisha kuteka magari katika eneo la...
View ArticleMAPYA YAIBUKA KWA YULE MTU ANAYEISHI KWENYE HANDAKI
Chacha Makenge (38) akiota moto nje ya handaki lake katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani.Chacha Makenge akionyesha lilipo handaki hilo. ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleLEGENDARY MUSIC TANZANIA WAJA NA HIP HOP & RAP STAR SEARCH
Je unachokipaji Kipaji cha Kurap/Kuchana, Kuimba R&B, Reggae, Soul, Zouk n.k lakini hauna uwezo wa kulipia Studio?Sasa Kampuni ya Legendary Music - Tanzania inakuletea Mpango maalum wa kusaidia...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZITAKAZOCHEZA LEO JUMANNE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSIKILIZA HAPA NYIMBO YA KOMBE LA DUNIA 2014 "WE ARE ONE"(OLE OLA) HAPA
Sikiliza hapa Ngoma hii official wa kombe la dunia 2014 by Pitbull Feat Jennifer Lopez & Claudia Leitte na ngoma inaitwa We Are One (Ole Ola)Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu...
View ArticleHII NDIO HALI HALISI YA USAFIRI WA MAJINI KWENYE ZIWA TANGANYIKA MKOANI KIGOMA
Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika, sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa...
View ArticlePICHA YA LEO: UNACHEZEA DAR ES SALAAM WEWE WAKATI WA MVUA!!!!
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA PAMOJA NA MECHI...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAHAKAMA KUU KANDA YA MOSHI YAAWACHIA HURU WASHTAKIWA 9 NA KUWATIA HATIANI 3...
Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje (aliyebeba mafaili), Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu baada...
View Article