Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

LEGENDARY MUSIC TANZANIA WAJA NA HIP HOP & RAP STAR SEARCH

$
0
0

Je unachokipaji Kipaji cha Kurap/Kuchana, Kuimba R&B, Reggae, Soul, Zouk n.k lakini hauna uwezo wa kulipia Studio?
Sasa Kampuni ya Legendary Music - Tanzania inakuletea Mpango maalum wa kusaidia Wasanii wa miziki aina yote, lakini kwa kuanza leo tutaanzia na Hip hop.


Sikiliza Beat hiyo kisha andikia mistari halafu jirekodi ukichana juu ya hiyo beat kisha uitume katika facebook page yetuhttps://www.facebook.com/LegendaryMusicTanzania au email kwa legendarymusicinc.tz@gmail.com.
Katika Mchakato tutachagua Watu Watatu ambao tutawapa nafasi ya kurekodi bure katika studio zetu
Mfumo wa kuchagua mshindi itakuwa ni vigezo vya kiufundi wa mziki husika pamoja audio/Video clips zitakazopata likes nyingi katika page yetu.
Kwa Mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana kwa simu namba +255656157772.
Imetolewa na Legendary Music-Tanzania

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>