Timu ya mpira wa miguu ya Watoto wa Mtaani ya Tanzania imetwaa Kombe la Dunia kwa watoto wa mtaani baada ya kuilaza timu ya Burundi bao 3-1 kwenye fainali iliyopigwa Rio de Janeiro nchini Brazil jana.
Katika mechi za mwanzo, Tanzania ilitoka sare ya mabao 2-2 na Burundi, ikaitandika Argentina mabao 3-0, ikailaza Nicaragua mabao 2-0, ikafungwa na Philippines mabao 2-0, ikaizima Indonesia katika robo fainali kwa jumla ya mabao 5-3 na ikaichapa Marekani 6-1 katika nusu fainali.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Watoto hao ambao ni mabingwa wakishangilia na kiongozi wao, Mutani Yangwe