TAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI
ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMICHANGO IMESHINDIKANA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO IMEBIDI ACHOMWE MOTO...
Mike Lukindo enzi ya uhai wake.Watanzania wa Wisconsin wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Mike Lukindo na pamoja na jitihada zote...
View ArticleGARI LATUMBUKIA KWENYE MTO KANONI MANISPAA YA BUKOBA
Ajali hii imeyotokea usiku wa kuamkia leo jumamosi katika daraja la mto Kanoni barabara iendayo Bandarini kwenye manispaa ya Bukoba, Gari hilo ndogo ainaya Toyota yenye namba za usajili T 910 CTC,...
View ArticleHIVI UNAJUA WATU 6 KATI YA 10 HAWAPATI USINGIZI WA KUTOSHA, SABABU NI...
Kama usiku wa kuamkia leo hujapata usingizi wa kutosha na umeutumia kuhesabu ‘kenchi’, tambua haupo peke yako.Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa nchini Uingereza, karibu watu 6 katika 10 hawapati...
View ArticlePICHA YA LEO: TAFRIJA ILIYOFANYWA NA MWALIMU NYERERE BAADA YA KUPATA UHURU WA...
Mzee Kawawa (watatu kulia) na Mwalimu Nyerere (wanne kulia) wakiwa pamoja na Wakuu waliopigania uhuru akiwa katika tafrija ya kusheherekea uhuru wa Tanganyika mwaka 1961.Pata habari motomoto kupitia...
View ArticleWATU 3 WAFARIKI KWA KUFUKIWA NA KIFUSI BUNJU JIJINI DAR ES SALAAM
Watu Watatu wamekutwa na tukio la kufukiwa na kifusi maeneo ya machimbo ya kifusi huko Bunju , watu hao walikuwa wakichimba kwa bahati mabaya udongo ukamong'onyoka na kuwafukia, wananchi mbali mbali...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA...
Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakitoa heshima za mwisho walipokuwa wakiuaga mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kabla ya ibada ya mazishi...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DODOMA DR. REHEMA NCHIMBI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA CHAMA...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na wajumbe kwenye Mkutano wa Baraza la Chama cha Walimu Dodoma ambapo alisisitiza uwazi kwenye mapato na matumizi kutoka fedha za michango ya...
View ArticleCCM YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati...
View ArticleMAN UTD WAPATA HOFU YA WAYNE ROONEY KUUKOSA MCHEZO WA MARUDIANO DHIDI YA...
Manchester United imeingiwa na wasiwasi juu ya mchezaji wake Wayne Rooney kutocheza mechi ya ligi ya Mabingwa wa Ulaya dhidi ya Bayern Munich, kutokana na mchezaji huyo kupata majeraha ya kidole.Rooney...
View ArticlePICHA: KAGERA SUGAR YAWATUNISHIA MISULI SIMBA YATOA SARE YA BAO 1-1
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAISI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPICHA NA BUKOBAWADAU BLOGPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleHOSPITALI YA TMJ YANUSURIKA KUUNGUA MOTO, WAGONJWA WATOLEWA NJE YA WODI
Baadhi ya wagonjwa wakiwa wametolewa hospitali ya TMJ baada ya nyumba ya jirani kuwaka moto. Walitolewa wodini kwa tahadhari. Hospital ya TMJ iliyopo Mikocheni Dar es Salaam ilizushiwa kuwaka moto...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRIL 06, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleMATOKEO YA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA JUMAMOSI PAMOJA NA...
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKAMATI KUMI ZAITESA CCM
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Kura za awali katika Kamati 10 kati ya 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zinakipa wakati mgumu Chama Cha Mapinduzi,(CCM) kutekeleza azma yake inayotajwa kuwa ni kufumua...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA PICHA WAKATI WA KUPIGA KURA KATIKA JIMBO LA CHALINZE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupia kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati...
View ArticleUPDATES: MATOKEO YA AWALI YA UCHAGUZI WA MBUNGE KATIKA JIMBO LA CHALINZE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU APRIL 07, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA UINGEREZA PAMOJA NA MSIMAMO WA LIGI HIYO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article