Ajali hii imeyotokea usiku wa kuamkia leo jumamosi katika daraja la mto Kanoni barabara iendayo Bandarini kwenye manispaa ya Bukoba, Gari hilo ndogo ainaya Toyota yenye namba za usajili T 910 CTC, ambalo mmiliki wake hajajulikana.
Japo katika eneo la tukio mwananchi mmoja alisikika akisema ni mal;i ya Askari Polisi ambae hakumtaja jina, Mtandao huu ulifika kwenye kituo cha Polisi kujilidhisha na tulikutana na Bw Magayane ambae ni msaidizi katika kitengo cha Usalama Barabarani alikiri kuwa na Tarifa za ajali hiyo na kusibitisha kuwa hakuna aliyeumia, na nilipotaka kujua mmiliki wa Gari hili alisema hawamjui wapo katika jitihada za kumtambua.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wananchi wakiangalia ajali ya gari kwenye Daraja la mto Kanoni barabara iendayo bandarini
Kama kweli ni ulevi ni nomaaaa
Jamani umakini Barabarani ni muhimu
Mwendo kasi, ulevi, kuongea na simu ni hatari unapoendesha gari kuwa makini.
PICHA NA JAMCO BLOG
PICHA NA JAMCO BLOG