Watu Watatu wamekutwa na tukio la kufukiwa na kifusi maeneo ya machimbo ya kifusi huko Bunju , watu hao walikuwa wakichimba kwa bahati mabaya udongo ukamong'onyoka na kuwafukia, wananchi mbali mbali walijitokeza na kusaidia zoezi la uokoaji kwa bahati mbaya wote walipatwa wakiwa wameshafariki.
Shughuli ya uokoaji ikiendelea.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI