Manchester United imeingiwa na wasiwasi juu ya mchezaji wake Wayne Rooney kutocheza mechi ya ligi ya Mabingwa wa Ulaya dhidi ya Bayern Munich, kutokana na mchezaji huyo kupata majeraha ya kidole.
Rooney aliumia Jumanne (April 1 ) katika machezo wao wa kwanza dhidi ya Bayern, ambapo timu hizo zilitoka sare ya 1-1 ndani ya Uwanja wa Old Trafford.
Kwa mujibu wa akaunti ya tweeter Man U imesema kuwa “Confirmed: Wayne Rooney set to miss @NUFC vs #mufc, may be doubtful for Bayern trip.”
Pia kwa upande wa kocha ya kikosi cha Manchester United ,David Moyes ameiambia MUTV kuwa itakuwa ngumu kucheza bila Rooney Jumatano.
“He’s got a badly bruised toe. He’s got a terrible toe. Not only is it a problem for this game, it could be a problem for the Munich match. We need to monitor it. We’ll get him treatment all over the weekend and see if we can speed it up.”Alisema Moyes
Rooney pia atakuwa nje katika mechi ya ligi kuu wikiendi hii dhidi ya Newcastle ili kumpa muda zaidi akipamona acheze Jumatano.