TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA JUMATANO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleZIFAHAMU FAIDA TANO(5) ZA KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO
Kukua na Kuongezeka kwa teknolojia , kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi duniani hivyo basi hata elimu namna ya kuipata imebadilika. Unaweza kusoma kwa njia ya mtandao na haulazimiki kwenda chuoni kila...
View ArticleUMUHIMU WA APRM KATIKA KUIMARISHA UTAWALA BORA NA UCHUMI TANZANIA
Katibu Mtendaji wa APRM, Bibi Rehema Twalib akisisitiza jambo alipokutana na waandishi wa habari hivi karibuni. Viongozi wa Nchi za Kiafrika katika Makao Makuu ya AU. Jumla ya nchi 34 kati ya 54...
View ArticleTANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUTOKA SECRETARIETI YA AJIRA UTUMISHI WA UMMA
Kwa lugha ya KiswahiliKAMA UNATAKA KUSOMA NAFASI HIZI KWA LUGHA YA KIINGEREZA BASI BOFYA HAPA CHINIKwa Lugha ya KiingerezaPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleTUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI: KIJANA AUAWA NA MWENZIE AJERUHIWA VIBAYA BAADA...
Kulia ni mwili wa marehemu baada ya kuchomwa moto-kushoto ni Machela ikiandaliwa kuupakia mwili wa kijana aliyeuawa kwa kuchomwa moto Kijana aliyejulikana kwa jina la Mangi akiwa ndani ya...
View ArticleMANISPAA YA KINONDONI YABOMOA MEZA NA VIBANDA VYA WAMACHINGA ENEO LA MWENGE...
Ilikuwa Mida ya Saa tatu za asubuhi ambapo Magari zaidi ya 10 ya Jiji yalikuwa yamejipanga eneo la mwenge Huku kukiwa na Ma Askari wa FFU wa kutosha pamoja na Migambo wa Jiji huku wakiongozwa na watu...
View ArticlePICHA YA LEO: MWALIMU NYERERE ALIPOFUNGUA KITUO CHA KWANZA CHA TELEVISHENI YA...
Katika sherehe za kutimiza miaka kumi ya Mapinduzi 1974, Mwalimu Nyerere alikuwapo Zanzibar kufungua rasmi Televisheni Zanzibar TVZ ambapo kwa wakati huo ilikuwa ndiyo TV ya kwanza ya rangi Afrika...
View ArticleTAARIFA MUHIMU KUTOKA TCRA JUU YA UDANGANYIFU KATIKA MITANDAO YA SIMU ZA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKUTOKA BUNGENI DODOMA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA APRIL 04, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleTFDA YATOA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MADUKA YA BIDHAA ZA VYAKULA JIJINI...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) Bw.Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu ukaguzi maalum wa maduka ya kuuzia vyakula “Supermarkets” na...
View ArticleAVUNJIKA MIGUU YOTE KWA AJALI YA BODA BODA
Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amegongwa na gari barabara ya zamani ya Dar es salaama jirani na stendi Katika Manispaa ya Morogoro na kuvunjika mguu wa kushoto. Wakizungumzia...
View ArticleMHE. LAZARO NYALANDU MGENI RASMI MIAKA 4 YA VIJIMAMBO PROMOTING TANZANIA...
Vijimambo kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Jumuiya ya Watanzania DMV wanapenda kukukaribisha kwenye sherehe ya miaka 4 ya Blog ya Vijimambo kwa kutangaza Utalii wa...
View ArticleJE UWEZO WAKO WA KUSIKILIZA UKO SAWA?
Inawezekana wewe ni mfanyakazi mzuri na mwenye elimu nzuri lakini unapata shida!Watu wengi hukazana kutazama elimu zao bila kuwa wasikilizaji wazuri. Mawasiliano ni kitu cha muhimu sana kwenye maisha...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE CHALINZE KUPITIA CHAMA CHA AFP AJERUHIWA KWA MAPANGA
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana. Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na...
View ArticleJAJI AUGUSTINEO RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUJADILI RASIMU KWA MAKINI
Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba...
View ArticleHOW ONE BOY LOST A LEG TO FIND HIS FEET
Learning to walk: Hamisi and his prosthesis.What happens when a community pulls together to help one of their own? MOblog has followed the remarkable story of a young Tanzanian boy called Hamisi.Hamisi...
View ArticleIBADA YA KUUOMBEA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOYSISI...
Jeneza likiwa na mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika ya Kusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani ya...
View ArticleUPDATES: BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA MLANDIZI LEO JIONI
Habari kamili itawaijia hivi pundePata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 05, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View Article