Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MH. PROF. MAKAME MBARAWA (MB) AHITIMISHA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)

$
0
0

Katikati ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa  akisikiliza jambo wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Prof. John Nkoma  akitoa maelezo mafupi kwa Mgeni Rasmi Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa juu ya mkutano wa sikumbili wa maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA




 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa akitoa hotuba yake ya kuadhimisha Sherehe za Miaka 10 za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
 
 Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akizungumza Jambo wakati wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA


Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa  akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Prof. John Nkoma

Meneja wa Ilasi FM Ndugu Stephano J.  Simbeye akikabidhiwa Leseni ya Radio hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Prof. John Nkoma
Meneja wa Pangani FM Richard Charles Katuma Meneja msaidizi na Mhariri mkuu wa Radio hiyo ya Pangani akikabidhiwa Rasmi Reseni ya Uendeshaji wa Radio yao na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Prof. John Nkoma




Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa  akiongea na wadau mbalimbali katika Secta ya Mawasiliano Tanzania
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa akisikiliza maelekezo ndani ya Banda laMamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa akisikiliza kwa umakini  maelezo kutoka katika Banda la CDS ambao wanahusika na usafirishaji wa Mizigo kwenda nje na ndani ya Nchi.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa  akipokea maelezo kutoka katika Banda la Shirika la Posta Tanzania
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa akipata Maelezo kutoka katika Banda la Stushi wanaohusika na Maswala ya ulinzi kutumia Teknolojia mpya.


Hawa ni wale Akina dada ambao walikuwa wakikaribisha wageni na kutoa maelezo mbalimbali wakati wa maadhimisho ya mkutano huo wa miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano ya TCRA


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles