$ 0 0 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Prof Mark Mwandosya akimjulia hali Father Joseph Mwan'gamba aliyemwagiwa tindikali Zanzibar, wote wawili wakiwa wamelazwa Apollo Hospital, Hyderabad, India.Picha na Michuz Blog