Ruge Mutahaba afunguka baada ya RC Makonda kusema yeye ni Muongo
Mkurugenzi na mzalishaji wa vipindi waClouds Media Group, Ruge Mutahaba, ameijibu kauli iliyotolewa na Mkuu wa mkoa wa Dar Dar es salaam, Paul Makonda ya kuwa yeye ni muongo, na anafaa tu kuwa...
View ArticleMAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) KUFANYA UKARABATI WA MIUNDO MBINU YA SHULE YA...
Kaimu Mkurugenzi Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Graceana Shirima (katikati) akimuelezea mwandishi wa habari wa ITV, Bw. Sifuni Mshana (kulia) kiasi cha fedha itakayotumika katika ujenzi wa awali...
View ArticleJE WATAKA KUJUA: MAMBA ANANG'ATA KWA NGUVU KULIKO MNYAMA YEYOTE
MAMBA ni mnyama mwenye uwezo mkubwa wa kung’ata kwa nguvu zaidi kuliko mnyama mwingine yeyote. Kwa mfano, mamba wa maji ya chumvi wanaopatikana Australia, wanaweza kung’ata kwa nguvu mara tatu zaidi ya...
View ArticleNEEC, UN, HDIF wazindua mafunzo kwa wajasiriamali
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji, Bengi Issa akizungumza na waandishi wa habarai Dar es Salaam jana wakati wa semina kwa vijana kuhusu namna ya kutumia Fursa kujikwamua kiuchumi....
View ArticleMBUNGE LUSHOTO AWAPA POLE WAKULIMA WA MBOGAMBOGA NA KUWATAKA KUONGEZA UZALISHAJI
Mbunge wa Jimbo la Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akitazama namna mbogamboga za wakulima kwenye Jimbo lake zilivyoharibika hivi karibuni kutokana na miundombinu...
View ArticleUHALIFU UNAOVUKA MIPAKA KUJADILIWA ARUSHA.
Naibu Inspekta jenerali wa polisi, Abdulrahmani Kaniki, akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa kamati tendaji za shirikisho la wakuu wa polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika, (SARPCCO) ikiwa ni...
View ArticleWafanyabiasha Mwanza watishia kugoma
Wakazi wa jiji la Mwanza huenda wakakosa huduma katika masoko 14 jijini humo baada ya wafanyabiashara kutangaza mgomo ifikapo Julai 4, mwaka huu iwapo malalamiko na hoja zao kuhusu ongezeko la kodi ya...
View ArticleMBUNGE AIBUKA NA RUNDO LA RISITI BUNGENI
Mbunge wa Viti maalum (Chadema), Rhoda Kunchela aliwasilisha bungeni furushi la risiti za mwenge wanazodaiwa kuchangishwa kwa nguvu, walimu na wafanyabiashara.Mbunge Kunchela aliomba kutoa hoja ili...
View ArticleWABUNGE WAPEWA SOMO KUHUSU FAIDA ZA UTALII NA UMUHIMU WA KUHIFADHI MAPORI
Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Prof Alexander Songorwa akitoa mada ya kwanini watanzania tuhifadhi uoto wa asili na wanyamapori wakati wa semina kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa maliasili, malikale...
View ArticleTanzania: Marriott International to debut The Ritz-Carlton in the Zanzibar...
Mr. Saleh Said, Directors of Pennyroyal Gibraltar Limited and Mr Alex Kyriakidis, President and Managing Director, Middle East and Africa, Marriott International, along with other executives from both...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE MAY 23, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleTIMUN YAAGIZWA KUANGALIA MUSTAKABALI WA DUNIA
Vijana kutoka mataifa mbalimbali waliokusanyika katika Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Baraza Kivuli la Vijana la Umoja wa Mataifa (TIMUN), mjini Arusha wametakiwa kuchambua masuala yaliyopo mbele yao kwa...
View ArticleMAOFISA UGANI WATAKIWA KUWA NA MASHAMBA YA MFANO
Mshauri wa Jukwaa la Kilimo na Bioteknojia (OFAB), Dk.Nicholaus (kulia), akitoa mada katika mafunzo ya kilimo ya siku moja kwa maofisa ugani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bushosa, Sengerema mkoani...
View ArticleWATU 19 WAUWAWA KATIKA SHAMBULIZI LA MANCHESTER ARENA
Watu 19 wameuwawa na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika tukio linashukiwa kuwa ni shambulizi la kigaidi katika ukumbi wa Manchester Arena.Mlipuko huo umetokea usiku wa jana wakati wa tamasha la...
View ArticleBinti wa miaka 15 abakwa na vijana wanne Jijini Mwanza
Watu watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi huku mwingine mmoja akiendelea kutafutwa kwa tuhuma za kumbaka binti mmoja mwenye umri wa miaka 15 wilayani Ilemela, mkoani Mwanza.Akitoa taarifa hiyo...
View ArticleBINTI AMEFANYIWA UPASUAJI MARA TISA (9) LAKINI BADO, WATANZANIA MSAIDIENI...
Habari Ndugu Mtanzania Mzalendo,Kwa majina Naitwa Exaud Mtei, Mwandishi wa Habari nchini Tanzania, kwa Masikitiko makubwa Imebidi niwe Balozi wa Kusambaza Ujumbe huu ambao nimeupata kutoka kwa mwalimu...
View ArticleUMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (Mbele) akihutubia maelfu ya wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Arusha zinazoshiriki michuano ya Copa/UMISSETA, katika ufunguzi wa mashindano hiyo mkoani...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CNMIF, BALOZI WA UFARANSA,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Zhang Xin, Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya China National Machinery Industry Federation (CBMIF) na mjumbe wa...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MATREKTA YA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mtrekta aina URSUS yanayounganishwa kwenye karakana ya TAMCO mjini Kibaha Mei 23, 2017.Kulia kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji,...
View ArticleYALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA MAY 23, 2017.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017. Naibu Waziri Wizara ya...
View Article