NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA RODRICK MPOGOLO AMALIZA KWA KISHINDO ZIARA YA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimuni, ambaye pia ni Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Simba, Hassan Dalali (kulia) akicheza muziki na Katibu Mwenezi wa...
View ArticleTGNP MTANDAO YAWAPONGEZA WASICHANA WALIOFANYA VIZURI KATIKA VYUO MBALIMBALI...
 Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akizungumza na waandishi habari kuhusu kuwapongeza wahitimu waliofanya vizuri katika vyuo mbalimbali nchini katika ukumbi wa TGNP  leo jijini Dar es...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI MAY 21, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleSumaye ajiuzulu ujumbe wa bodi CRDB
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa serikali ya awamu ya tatu, Frederick Sumaye amejitoa katika Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB kwa madai kuwa familia yake inafuatwafuatwa hivyo kuhofia kuwa anaweza kuathiri...
View ArticleMawaziri Waliotemwa Wageuka MWIBA Kwa Serikali
Mawaziri wa zamani, Nape Nnauye na Charles Kitwanga, wamegeuka kuwa mwiba kwa kutoa hoja za kukosoa utendaji wa Serikali ya Rais Dk. John Magufuli.Mwenendo wa makada hao wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticlePIERRE-EMERICK AUBAMEYANG ATWAA TUZO YA MFUNGAJI BORA UJERUMANI
Mshambuliaji raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang ameifungia Borussia Dortmund goli la mkwaju wa penati la dakika za mwisho katika siku ya mwisho ya msimu wa Ligi ya Bundesliga na kuwa mfungaji...
View ArticleRAIS DONALD TRUMP KUOMBA KUUNGWA MKONO VITA DHIDI YA IS
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuelezea umuhimu wa kukabiliana na itikadi kali katika Uislam wakati akitoa hotuba yake nchini Saudi Arabia baadaye hii leo.Hotuba yake hiyo katika mkutano wa...
View ArticleZitambue faida za limao mwilini
Tangu karne nyingi, limau linajulikana kama dawa, husaidia pia kuongeza kinga ya mwili, kusafisha tumbo na hujulikana pia kwa kazi yake nzuri ya kusafisha damu. Limau ni matunda ambayo yana kitu muhimu...
View ArticleMdee awatibua wabunge wa CCM
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee jana aliwatibua wabunge wa CCM baada ya kuwaambia wasaidie wananchi ambao ni asilimia 65 wanaotegemea kilimo badala ya kumpongeza waziri kwa kufuta tozo za...
View ArticleMkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kwenye Mkutano wa 18 wa...
View ArticlePPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO
Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Lulu Mengele (kulia) akimkabidhi msaada wa mashuka Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa Bi. Zainab Chaula (kushoto) kwa...
View ArticleGwajima awajibu waliomtabiria kifo
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema hatakufa hadi pale atakapotimiza lile lililomleta duniani.Ameyasema hayo leo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwake ikiwa ni siku...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WASAINI TAMKO LA PAMOJA LA...
 Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakizungumza kabla ya zoezi la kutia saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU MKAPA
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa wakati alipomtembelea  Rais huyo Mstaafu nyumbani kwake jijini Dar es salaam Mei 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU MAY 22, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA
 Bw. Harusi,Zuberi Senzota Msemo Na Bi.harusi Khadija Khamis Lyoba  wakiyarudi magoma wakati walipokuwa wakiingia ukumbini katika tafrija maalum ya kuwapongeza kwa kuungana kwao, iliyofanyika katika...
View ArticleWIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATOA SEMINA KWA WABUNGE JUU YA UMUHIMU WA...
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhandisi Atashasta  Ndetiye (kushoto) akizungumza wakati wa semina hiyo iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii na...
View ArticleYALIYOJIRI LEO KATIKA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017.
 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza  kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017. Naibu Waziri Ofisi ya...
View ArticleVIDEO: Kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu mauaji ya Viongozi wa Serikali...
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe.Mwigulu Nchemba amewaonya wananchi wa Kibiti mkoa wa Pwani kutowaficha wahalifu wanaofanya mauaji mkoani humo bali wawafichue ila maisha yaweze kuendelea kama...
View ArticleRais wa TFF atoa pongezi kwa Mh. Sima
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ametuma salamu za pongezi kwa uongozi mpya wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Singida ulioingia madaraka jana Mei 20, 2017.Mbunge wa...
View Article