Yussuf Manji Ajiuzulu Uenyekiti Club ya Yanga
Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji amejiuzulu wadhifa huo akidai kuwa anatoa nafasi kwa watu wengine kuiongoza.Kupitia barua yake, Manji amesema kuwa anaondoka akiamini ameiacha Yanga ikiwa timu yenye...
View ArticleNape Amvaa Tena Makonda kuhusu Sakata la Kuvamia Kituo cha Clouds
Miezi michache ikiwa imepita tangu kutokea tukio la uvamizi wa kituo cha Clouds Media Group na kuundwa kwa kamati ya kuchunguza tukio hilo, hatimaye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
View ArticleKLINIKI YA AFYA YA AKILI KUTOLEWA KUPITIA HOSPITALI ZOTE ZA RUFAA NCHINI-...
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dkt. Khamisi Kigwangalla akizungumza na baadhi ya viongozi wa Chama Cha Walemavu wa Afya ya Akili (TUSPO),...
View ArticleWANAFUNZI WENGINE WATATU WAPOTEZA MAISHA LEO GEITA BAADA YA MTUMBWI WAO KUZAMA
Watu watatu ambao ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Butwa mkoani Geita wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Victoria, mkoani Geita.Kamanda wa Polisi Mkoani Geita...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO MAY 24, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleTimu ya Azania yawasili nchini baada ya kushiriki kwenye mashindano ya...
Mashindano ya kombe la Standard Chartered yaliyokuwa yanafanyika nchini Uingereza yamemalizika na kombe hilo kutwaliwa na timu ya nchini Singapore. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
View ArticleUN YAENDELEA KUHAMASISHA VIJANA KUTAMBUA MALENGO 17 YA DUNIA (SDGS)
Umoja wa Mataifa nchini umeendelea na hekaheka za ufundishaji wa machampioni wa kusaidia kueneza malengo 17 ya dunia yanayohusu maendeleo endelevu. Miongoni mwa mambo yaliyofanywa siku ya pili ya ziara...
View ArticleWASICHANA 8000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UNESCO WA ELIMU
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akitoa neno la ufunguzi katika kongamano la viongozi...
View ArticleUPDATES: RAIS MAGUFULI AMFUKUZA KAZI KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Rais wa John Magufuli ameeleza sababu kwa nini alimfukuza kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa.Rais Magufuli amesema kuwa alichukua uamuzi huo kutokana na Profesa...
View ArticleBREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI AMTAKA WAZIRI PROF. MUHONGO AJIUZULU
Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuachia madaraka kwa kushindwa kusimamia suala la mchanga wa dhahabu unaosafirishwa kwenye makontena.Amemtaka waziri...
View ArticleBancABC wins best emerging Bank in Tanzania
BancABC wins Best Emerging Bank in Tanzania Award during The Banker Africa – East Africa Awards 2017 at the ceremony held last week in Nairobi at the crown plaza. From left to right: Mr. Robin Amlot...
View ArticleTUTAIFUNGIA MIGODI YOTE INAYOPATA AJALI ZA KIZEMBE: KAMISHNA WA MADINI
Kamishna wa Madini Tanzania, Mhandisi Benjamin Mchwampaka (wa pili kutoka kulia), akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa wachimbaji wadogo wa madini wa eneo la Mererani, wakati wa mafunzo maalum kuhusu...
View ArticleSPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi kutoka kwa Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe...
View ArticleYALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017. Naibu Waziri wa Nchi...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI MAALUM YA KWANZA ILIYOFANYA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya uchunguzi wa mchanga wa madini mbalimbali uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini...
View ArticleMKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO WAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu wakati anawasili katika ukumbi wa mikutano wa AICC kwa ajili ya...
View ArticleUJUMBE WA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE KUHUSU MADINI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWALIMU NA ASASI ZA KIRAIA WAJENGEWA UWEZO KUHAMASISHA UKUSANYAJI WA...
Afisa Mradi wa Elimu kutoka TENMET, Bi. Alistidia Kamugisha akielezea juu ya uhusiano wa ukusanyaji kodi na maendeleo katika sekta ya elimu kwenye mafunzo ili kutafuta ufumbuzi wa changamoto za utoaji...
View ArticleZaidi ya shilingi Milioni 800 zahitajika kuendesha Mashindano UMISETA na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. George Simbachawene (aliyesimama mbele) akiongea na wadau toka Mashirika na Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI MAY 25, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View Article