BALOZI SEIF AFUNGUA TAMASHA LA TANO LA ZAHILFE
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilifungua Tamasha la Tano la Michezo ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar { ZAHILFE} kwenye Uwanja wa Amani Mjini...
View ArticleKUNDI LA MTANDAO WA WHATSAPP LA "SARATANI INFO" LATOA MSAADA WA BIMA ZA AFYA...
Mabalozi wa Kundi la Mtandao wa Kijamii wa Whatsaap la Saratani Info wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC tayari kutembelea kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC.Mabalozi wa Kundi...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AIFUTA MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU CDA, IKULU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es...
View ArticleMwanafunzi Kukishitaki Chuo Kikuu cha UDSM
Mwanafunzi aliyefukuzwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Alphonce Lusako, amewasilisha maombi Mahakama Kuu chini ya hati ya dharura, aruhusiwe kukishtaki chuo hicho kwa kumkatisha masomo.Mwanafunzi...
View ArticleHaji Mnara: Hans Pope amefuta uamuzi wa kujiuzulu uongozi Simba
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope amerudi kundini Simba baada ya kufuta uamuzi wake wa kujiuzuluMkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara amethibitisha...
View ArticleRais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiangalia jengo la ZSTC Mkoani Pemba lililoanguka ukuta kutokana na kuangukiwa na mti baada ya...
View ArticlePICHA: YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15,...
View ArticleUpepo wa dakika 10 waezua nyumba 75 Zanzibar, mmoja ajeruhiwa
Zaidi ya nyumba 75, zimeezuliwa mabati na nyingine kuta kubomoka baada ya upepo mkali kuvuma kwa takriban dakika kumi katika maeneo ya Wilaya ya Magharibi Mkoa wa Mjini Unguja.Kamanda wa Polisi Mkoa...
View ArticleMahakama yapiga ‘stop’ bomoabomoa Kibamba
Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi imepiga marufuku bomoabomoa iliyopangwa kuanza katika jimbo la Kibamba, ili kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro.Amri ya usitishwaji wa bomoabomoa hiyo imetolewa leo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE MAY 16, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Lodrick Mpogolo, akizungumza na wanachama na Viongozi wa CCM Kata ya Manzese, wakati akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama, ambapo leo...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AKUBALI MAOMBI YA KUACHA KAZI KWA VIONGOZI HAWA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA OFISINI KWAKE JIJINI...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge). Spika...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA...
Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe. Jumla ya nyumba 123 ziliathirika...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA TANGA ALHAJI MUSSA MBARUKU ATEMBELEA KUONA ATHARI ZA...
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akiteta jambo na mmoja wa wakazi wa Jiji la Tanga eneo la Neema mara baada ya kukutana njiani wakati mbunge huyo alipokwenda kukagua kujionea...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa...
View ArticleNAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza jambo pale alipotembelewa na ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa...
View ArticlePICHA: YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,...
View ArticleALIYEKUWA NAIBU WAZIRI ADAM MALIMA AFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU LEO
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha katika Serikali ya Awamu ya Tatu, na Mbunge wa Mkuranga, Adam Kighoma Ali Malima amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo akituhumiwa...
View Article