Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge).
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat, wakati alipozungumza naye ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi barua Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai kitabu mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.