Taarifa Kwa Wananchi Kuhusu Mapato Na Matumizi Ya Michango Ya Ajali Ya Basi...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMTI WA AJABU WANG'OLEWA LEO JIJINI MWANZA.
George Binagi-GB Pazzo @BMGWakazi wa Jiji la Mwanza wameingia katika taharuki baada ya kutokea uvumi wa taarifa za mti kugoma kung’olewa katika eneo la Pasiansi ambapo kuna shughuli ya upanuzi wa...
View ArticleMAMLAKA YA USIMAMIZI WA BIMA (TIRA)IMEZINDUA MFUMO WA KUHAKIKI BIMA KWA NJIA...
Kaishna wa Bima nchini Dkt .Boghayo Saqware akiwa anazungumza na wauza bima,madalali wa bima, mawakala wabima, wauza bima, jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani, viongozi wa vyama vya wamiliki...
View ArticleTGGA YAZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA HEDHI SALAMA KWA WASICHANA
 Katibu Tawala wa Wilaya ya Lindi, Thomas Safari akizindua rasmi Kampeni ya Hedhi Salama kwa Wasichana iliyoandaliwa na Chama cha Tanzania Girl Guids (TGGA), ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO MAY 17, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleJPM aitaka TBC itangaze bila kubagua vyama, dini, kabila
Rais John Magufuli amelitaka shirika la utangazaji la TBC, kutoa taarifa sahihi kwa watanzania bila kujali vyama vyao, dini zao wala makabila yao.Pia Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Habari,...
View ArticleKiwanda chanusurika kuteketea kwa moto
Kiwanda cha Jambo kilichopo mkoani Shinyanga kimenusurika kuteketea kwa moto baada ya hitilafu ya umeme kutokea kwenye moja ya ghala lililokuwa na marobota ya pamba.Kamanda wa jeshi la zima moto na...
View ArticleWAPEMBA WAPIGWA MSASA KUHUSU FURSA KATIKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Mkurugenzi wa Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama, Bw. Stephen Mbundi akitoa mada kwenye semina ya mtangamano wa Jumuiya ya afrika Mashariki kisiwani Pemba ambapo alielezea namna Jumuiya hiyo...
View ArticleWATUMISHI WA UMMA KUWENI KARIBU NA WANANCHI, BALOZI MWINYI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi akitoa mwongozo kwa wajumbe wa semina ya Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea...
View ArticleSAID MECKI SADIKI ATAJA SABABU ZILIZOMFANYA AANDIKE BARUA YA KUACHA KAZI YA...
Aliyekuwa Muu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki , amesema ameamua kuondoka serikalini baada ya utumishi wa muda mrefu na anakwenda kupumzika mkoani Mwanza huku akiwa mfugaji wa samaki.Aidha...
View ArticleTIBA MTANDAO KUANZIA OLOLOSOKWAN OKTOBA MWAKA HUU
WATU waliopembezoni ambao wamekuwa na shida kubwa ya kupata madaktari bingwa, wataanza kupata nafuu baada ya kuanza kwa mradi wa tiba mtandao unaoendeshwa kwa pamoja kati ya Chuo Kikuu cha Afya na...
View ArticleTAMWA YAJIVUNIA KUWAWEZESHA WANAHABARI 2470 KIMAFUNZO
Mwanachama wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Valerie Msoka ambaye pia aliwahi kuwa Mkurugenzi.Mtendaji wa chama hicho akizungumza kuwasilisha ujumbe wa TAMWA kwenye kongamano hilo...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU CCM BARA ZIARANI JIMBO LA TEMEKE, ASEMA HANUNULIWI KWA 'JERO'
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rodrick Mpogolo, akizungumza na wanachama na Viongozi wa CCM Kata ya Mtoni, wakati akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama, kwa Mkoa wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA NCHI ZA...
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku tatu ya Polisi Wanawake kutoka Shirikisho la Majeshi ya Polisi Kusini mwa...
View ArticleWADAU WA ELIMU TANZANIA WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE - HUDUMA NA...
Picha ya pamoja ya wadau wa elimu Tanzania na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge, huduma na Maendeleo ya Jamii baada ya kikao cha kuwasilisha mapendekezo ya wadau wa elimu katika bajeti ya elimu ya...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
View ArticleTimu ya Azania kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Standard Chartered...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameikabidhi bendera timu ya Azania ambayo inaelekea nchini Uingereza kushiriki mashindano ya Standard Chartered Safari kwenda...
View ArticlePICHA: YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
 Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017. Naibu Waziri wa...
View ArticleAPPLICATION FOR APPOINTMENT TO REGIONAL CONSUMER COMMITTEES OF THE EWURA CCC
APPLICATION FOR APPOINTMENT TO REGIONAL CONSUMER COMMITTEES OF THE EWURA CCCFunctions and Powers of EWURA CCCEWURA Consumer Consultative Council (EWURA CCC) is a Council established under Article 30 of...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI MAY 18, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View Article