Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku tatu nchini Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu Ziara ya Rais wa Afrika Kusini nchini Mhe. Jacob Zuma,...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE MAY 09, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleDiamond anadaiwa mil 400/- na TRA
MBUNGE wa Kinondoni, Maulid Mtulia (Chadema), ameliambia Bunge kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul 'Diamond Platinumz', anadaiwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) zaidi ya Sh. milioni...
View ArticleApelekwa Polisi kwa Kufanana na Lionel Messi
  Mwanafunzi mmoja nchini Iran amelazimika kupelekwa katika kituo cha polisi mwishoni mwa wiki iliyopita kisa na mkasa! Kufanana kulikokithiri na Lionel Messi.Watu wengi katika mji wa Hamaden wamekuwa...
View ArticleMABASI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO ENEO LA SAMUYE SHINYANGA LEO ASUBUHI
Wimbi la ajali limezidi kujitokeza nchini Tanzania ambapo leo Jumanne May 9, 2017 basi la Ally's Star lenye namba za usajili T402 ATV likisafiri kutoka Mwanza kwenda Kaliua Tabora limegongana uso kwa...
View ArticleTahadhari ya matapeli - wizara ya afya
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSAKATA LA GODBLESS LEMA KUBAGULIWA JANA MSIBANI LATUA BUNGENI
Wabunge wawili wa Chadema, Peter Msigwa wa Iringa Mjini na Godbless Lema wa Arusha Mjini wameomba mwongozo wa Spika kuhusu ubaguzi wa kisiasa uliotokea kwenye msiba mjini Arusha Jumatatu.Jana Jumatatu...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA...
 Wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga wakiwasili tayari kukabidhiwa magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA DIWANI WAKE
Waziri  Mkuu Kassim  Majaliwa  na Mbunge wa Ruangwa,  akiweka mchanga  kwenye kaburi la aliyekuwa  Diwani wa  CCM Kata ya Mnacho ,Kijij cha Nandagala , Bw.  Daniel Petro  Mtawa ambaye amefariki tarehe...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI MKUTANO WA SABA...
 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017. Waziri wa Mambo ya Ndani...
View ArticleNEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akitoa elimu ya mpiga kura kupitia redio A FM ya mkoani Dodoma leo Mei 9 mwaka huu huku akifuatiliwa kwa makini na...
View ArticleRAIS SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA NCHINI DJIBOUTI
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi  Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (wa pili kushoto) wakati  alipotembelea  katika Bandari ya...
View ArticleWATU WATANO WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KWA NYUMBA YAO KUANGUKIWA NA MTI .
 Baadi ya wananchi wakiondoa paa la bai ili kuokoa watu waliokuwa kwenye nyumba iliyoangukiwa na mti usiku wa kuamkia leoNa,Vero Ignatus,ArushaKutokana na mvua inayonyesha mfululizo Mkoani Arusha...
View ArticleWANAWAKE WA MSIKITI WA KHOJA SHIA ITHNA ASHERI WATOA MISAADA HOSPITALI YA...
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZAWANAWAKE wa Dini ya Kiislamu wa Msikiti wa Khoja Shia Ithna Asheri jijini Mwanza wametoa  msaada wa vitu mbalimbali  vyenye thamani ya shilingi milioni 2 kwa Hospitali ya...
View ArticleTembo Wanne Wavamia Chuo Kikuu cha UDOM
Ilikuwa balaa leo alfajiri katika maeneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo. Watu wamefurika chuoni hapo kuwaangalia lakini polisi wamewazuia kusogea karibu na...
View ArticleAgnes Masogange ajisalimisha Kisutu
Msanii, Agnes Gerald maarufu kama Masogange (28) amejisalimisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Kabla ya Masogange kujisalimisha mahakama ilitoa hati ya kumkamata baada ya kushindwa kuhudhuria...
View ArticleTAARIFA YA TAHADHARI YA MVUA KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO MAY 10, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI KWA MWAKA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akiwasilisha makadirio ya Bajeti yake kwa mwaka 2017/2018 ambapo aliliomba Bunge liidhinishe Bajeti ya jumla ya Shilingi 930,396,817,000 wakati wa...
View ArticleSPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE WA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya Mhe. Alojz Peterle (kulia) pale ugeni wa Wabunge kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya ulipomtembelea leo...
View Article