BURIANI MWANAHABARI REVOCATUS BULIZYA
Marehemu Revocatus Bulizya enzi za uhai wakeWaombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mwanahabari Revocatus Bulizya wakati ukiingizwa katika Kanisa la Katoliki Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
View ArticleNEC YATOA UFAFANUZI UTARATIBU WA KUMPATA MBUNGE NA DIWANI VITI MAALUM.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeeleza kuwa nafasi za Wabunge wa Viti Maalum wanaoteuliwa zipo kwa mujibu wa Sheria na zimeainishwa katika Ibara ya 78 (1) na (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI MAY 07, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleBunge latoa pole kwa wanafunzi 32 Waliofariki Arusha
Spika wa Bunge, Job Ndugai amemtumia salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kufuatia vifo vya wananafunzi, walimu na dereva wa Shule ya Msingi Lucky Vicent, baada ya gari...
View ArticleCHADEMA watuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya Wanafunzi 32
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema wametuma salamu za rambirambi kufuatia kutokea kwa ajali mbaya iliyotokea leo na...
View ArticleBarua ya Bodi ya Ligi kuhusu sakata la alama tatu kati ya Kagera Sugar na...
Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewajibu rasmi Simba SC juu ya sakata lao la kupokwa pointi tatu za mezani walizopewa baada ya rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar wakidai kumcheza...
View ArticleMbunge wa CCM alia njaa jimboni kwake mbele ya Polepole
Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay amemuomba Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole kufikisha kilio cha wananchi kwa Serikali ili wapatiwe chakula cha njaa.Massay amesema hayo leo...
View ArticleAskofu Gwajima amwomba Spika kuahirisha Bunge kwa ajili ya msiba
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephath Gwajima amemtaka Spika wa Bunge kuahirisha kikao cha Bunge siku ya kuaga miili ya watoto waliofariki kwa ajali jana.Amesema kama Rais wa Kenya, Uhuru...
View ArticleRC SINGIDA : MKURUGENZI SINGIDA DC HAMIA KATIKA HALMASHAURI YAKO.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akisisitiza jambo katika baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya SingidaMadiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Singida wakifuatilia kikao cha baraza...
View ArticleBW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU...
Mfanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi akiwa pamoja na Mkewe Bi.Susan Barnabas jana wakati walipofunga ndoa takatifu na kuwa mwili mmoja kwenye kanisa la...
View ArticleMBUNGE AZZA HAMAD ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VITUO VINNE VYA AFYA KISHAPU...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad Jumamosi Mei 6,2017 amekabidhi Vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 12.6 katika vituo vya afya vinne vya afya...
View ArticleMBUNGE AZZA HAMAD ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VITUO VINNE VYA AFYA KISHAPU...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad Jumamosi Mei 6,2017 amekabidhi Vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 12.6 katika vituo vya afya vinne vya afya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU MAY 08, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticlePICHA: YALIYOJIRI LEO WAKATI WA ZOEZI LA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa zoezi la kuaga miili ya wanafunzi 32, walimu Wawili na pamoja na Dereva Mmoja wa shule ya Lucky Visent...
View ArticleBenki Kuu ya Tanzania (BoT) yaifutia leseni benki ya FBME
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeifutia leseni ya biashara Benki ya FBME na kuteua Bodi ya Bima ya Amana kuwa mfilisi kuanzia leo.Taarifa iliyotolewa na BoT inawataka wenye amana, wadai na wadaiwa kuwa...
View ArticleMFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI APRILI HAUJAONGEZEKA UMEBAKI ASILIMIA 6.4
Mkurugenzi wa Sensa za watu na Takwimu Ofisi ya Taifa ya Takwimu,(NBS), Ephraim Kwesigabo, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mfumuko wa bei ya taifa kwa...
View ArticleKIJANA GIRL GUIDES APAMBANA MEXICO KUWA MLIMA KILIMANJARO UPO TANZANIA BADALA...
Mmoja wa viongozi wa vijana wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Dk. Helga Mutasingwa (kulia), akilakiwa na Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace Shaba baada ya kuwasili jana kwenye Uwanja wa wa...
View ArticleUZINDUZI WA UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 MKOANI MWANZA WAFANA
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akizungumza wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Coca-cola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.Meneja Mkuu wa Masoko Nyanza Bottling...
View ArticleBALOZI SEIF AKUTANA NA MWAKILISHI WA KAMPUNI YA UJENZI YA GARWARE YA INDIA
Kaimu Balozi wa Tanzania Inchini India Balozi Mohamed Hija kulia akifafanua jambo wakati wa mazungumzo ya Viongozi wa Kampuni za Kimataifa ya Ujenzi ya GARWARE na Taasisi inayojishughulisha na Masuala...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA TISA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA)...
View Article