Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji tajiri miongoni mwa wachezaji wa Ulaya baada ya ‘the annual Goal.com’s football Rich List’ kumtaja Ronaldo kuwa na utajiri wa paundi milioni 122.
Kwa mujibu taarifa hiyo, Lionel Messi ameshika nafasi ya pili akiwa na utajiri wa paundi milioni 120,nafasi ya tatu imekamatwa na muafrika pekee kwenye orodha hiyo, Samuel Etoo mwenye utajiri wa paundi milioni 70.
Hii ni orodha nzima
1. Cristiano Ronaldo £122m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto’o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m
Source:Sportive23