Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

TASWIRA MBALIMBALI KWENYE BUNGE LA KATIBA LEO

$
0
0
Wajumbe  wa Bunge  Maalum la Katiba, William Lukuvi  (kulia)  akizungumza , Anna  Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi  11, 2014.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho  akiongozwa kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 11, 2014 bada ya kuahirisha Bunge hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge maalum la katiba na naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuzi, Kaika Telele, Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba . Kutoka kushoto ni John Shibuda, Riziki Lulida na Zabein Mhita.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>