Basi la Kampuni ya Hood likiwa limepinduka na watu kuumia vibaya eneo la Same leo asubuhi
Baadhi ya wasamalia wema wakiwaokoa abiria waliokuwa wamepanda basi hilo la hood lililokuwa linatoka Arusha kwenda Mbeya baada ya kupinduka.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Huyu nibaadhi ya maiti zilizopo katka ajali hiyooo
Kwa habari kamili endelea kufuatilia blog yetu