Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

HALI HALISI YA MITAA MBALIMBALI YA JIJI DAR BAADA YA MVUA KUNYESHA

$
0
0
 Huwezi kuamini lakini ndo ukweli hii ni mojawapo ya barabara ya mtaa wa Uhuru uliopo maeneo ya Mwenge ikiwa imejaa maji baada ya mvua kunyesha leo mchana lakini kikubwa cha kujua ni kwamba maji haya ni maji ya mvua na hata maji taka maana chemba nyingi eneo hili zilikuwa zikitoka maji hayo machafu.
 Mmoja wa wasamalia wema aliamua kuwapandisha wanafunzi kwenye Toyo yake ili kuwavusha kwenye eneo la barabara lililokuwa limejaa maji mengi eneo la Maghorofa ya JWTZ yaliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Gari likipita kwa shida kwenye barabara ya mtaa wa Uhuru baada ya mitaro ya eneo hilo kuzidiwa na kupelekea maji hayo kuanza kupita kwenye barabara hiyo
 Baadhi ya wananchi wakivuka kwa kupita kwenye maji hayo yaliyojaa barabarani 
 Unaweza kusema ni mto lakini eneo hili ni barabara iliyobadilika kwa muda mfupi baada ya mvua kunyesha eneo la Mwenge jijini  Dar es Salaam
 Magari yakipita kwa shida kwenye barabara baada ya maji kujaa barabarani
Mojawapo ya chemba ya maji machafu iliopokaribu na ofisi zaTRA ya Kinondoni ikiwa inatoka maji machafu baada ya mvua kunyesha kwenye eneo hilo na kuingia mtaroni.

PICHA NA PAMOJA BLOG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>