$ 0 0 Habari mbaya zilizotufikia ni kwamba Mtoto mmoja kati ya mapacha wannewaliozaliwa mkoani Mbeya amefariki dunia jana jioni baada ya kuugua kifua kwa muda mfupi, ni mtoto wa kwanza kushoto ambaye pia ndiye alikuwa ni mkubwa. Taarifa zaidi zinakuja endelea kufuatilia