Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

TASWIRA MBALIMBALI TOKA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

$
0
0

Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Aden Rage na Kheri Ameir wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma hadi Ijumaa.
 
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama (UPDP), Fahmi Dovutwa  na Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha TLP Augustino Mrema wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma. 
 
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Aden Rage (kulia) na Mjumbe mwezie na Naibu Waziri wa Fedha Mwingulu Nchemba (kushoto) wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma.
Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Dkt Khamis Kigwangalla (kulia) akisalimiana na Mjumbe mwezie ambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta (kushoto)  nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma. 
 
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba na Mwenyekiti wa Chama cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) alisamiana na mwandishi na Mpiga picha wa Kampuni ya Mwananchi Emmanuel Helman jana mjini Dodoma mara baada ya kuharishwa kikao cha Bunge. 
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni NaibuWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Jenista Mhagama (kushoto) na Mjumbe mwezie Lediana Mung’ong’o wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma.
Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) Shaban Kissu (koshoto) na Naibu Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Juma Mkamia (kulia) wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma.
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge la Katiba  ambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta (kushoto)  akisalimiana na Mjumbe mwezie James Mapalala nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma. 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji ) Dkt Mary Nagu (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie Paul Kimiti  jana mjini Dodoma mara baada ya kuharishwa kikao cha Bunge hilo. 
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Fedha  Mwingulu Nchemba akiteta jambo na Mjume wa Bunge hilo Philemon Ndesamburo jana mjini Dodoama mara baada ya kuharishwa kikao cha Bunge. 
Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambao pia ni wapenzi na wananchama wa Timu ya Simba wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Juma Mkamia, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta (katikati)  na Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage.Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles