Mafundi wa kampuni ya Makenga Invest LTD ya mkoani Tabara wakifunga taa kwa ajili ya kuongozea madereva wanaendesha vyombo mbalimbali vya moto kwenye barabarani za mjini Dodoma, kwa mjibu wa kampuni hiyo taa hizi zinafungwa maeneo ya njiapanda ya Area D, na Ndasha.(Picha na John Banda)
Mafundi wakiendelea na kazi
Moja ya nguzo yenye taa za barabarani ikiwa kwenye ukarabati wa mwisho eneo la njia panda ya Area D mjini Dodoma.