Mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa akikabidhi fomu yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi, Pudenciana Kisika
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wana CCM wakimsindikiza Mgombea ubunge wa CCM Kalenga Bw Mgimwa kurejesha fomu
Mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa wa pili kushoto akiwa ameshika bendera ya CCM akielekea kurudisha fomu
msafara wa mgombea ubunge jimbo la kalenga kupitia Chadema
Makada wa Chadema wakimsindikiza mgombea wao jimbo la kalenga leo
Na Francis Godwin, Iringa