Serengeti National park ndipo Chui huyu alipoonekana akinywa maji kandokando ya barabara.
Hawa Duma nao walikutwa wakiwa wamekamilisha windo lao la pundamilia huko huko Serengeti
Ngorongoro Crater aka Shimoni ndio walipokutwa hawa Sharubu watatu wakipiga misele
Tarangire
Shukran kwa Mdau Assery kwa picha hizi