Hapa ni njia panda ya kuingia stendi maduka pia yamefungwa.
Wafanyabiashara wa jiji la Arusha leo nao wamefunga maduka yao ikiwa ni muendelezo wa mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima. Toka mida ya saa tatu leo mpaka saa sita mchana takribani maduka yote ya Arusha mjini yalikuwa yamefungwa, Tulianzia maeneo ya stendi kuu ambapo pia maduka yalikuwa yamefungwa,pia kurudi mtaa wa waachaga pia nako maduka yakuwa yamefungwa,pia kuanzia barabara ya sabena mpaka stendi ndogo hali ilikuwa hivyo hivyo maduka yamefungwa.
Maduka yakiwa yamefungwa na hakuna biashara inayoendelea
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI